Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,775
- 28,222
Hii ni kwa mujibu wa Ricardo Momo shabiki lia lia wa Yanga anayeitumia Wasafi FM kuichafua SimbaWakuu
Kumbe sababu kubwa ya yule mzambia phiri kutopangwa Mara kwa Mara ni sababu ana mgomo na anawadai chake simba ..
Kwa kuwa klabu hiyo imezoea kuendeshwa kihuni basi kila anayedai chake anapigwa benchi na kuitwa mchochezi.!
Ilianza kwa beno leo yuko Wapi? Kashasepa zake
Sasa phiri kudai hela zake imekuwa nongwa?
Ndo kuwekwa benchi mpaka na papaa bocco?
Na huyu kipa Abel inabidi ajiangalie sana maana nimeskia kaletwa kwa mkataba kauli tu ..
Yaani kaahidiwa milipni 40 na hajapewa hata senti!
Huu uonevu na utapeli hii klabu imeshindikana kwa kweli..
Yale ya kina okwa kumbe ni ukweli kabisa ..
Sio ajabu msimu huu wakashika nafasi ya 9 ..
Yetu macho.
Ila aliposema kuhusu ile story ya ngoma kuibiwa airport mlikubali? Bila kujali ukweli au uongo?Hii ni kwa mujibu wa Ricardo Momo shabiki lia lia wa Yanga anayeitumia Wasafi FM kuichafua Simba
Kama Beno alivyowashinda na Okwa pia halafu hiyo mil 50 Alikiba hajalipwa hiyoYaani tumlipe ali kiba milioni 50 Phiri wa mioni 30 atushinde
Hilo linajulikana kabisa shida ni mashabiki wake akili zimerukaSimba ni kikundi cha wahuni
mi najuaga ni Simba yuleHii ni kwa mujibu wa Ricardo Momo shabiki lia lia wa Yanga anayeitumia Wasafi FM kuichafua Simba
Mmepigwa mkuu.Yaani tumlipe ali kiba milioni 50 Phiri wa mioni 30 atushinde
Hii ni uongoIla aliposema kuhusu ile story ya ngoma kuibiwa airport mlikubali? Bila kujali ukweli au uongo?
Amesema ukweli hapo anadai au hadai?
Yanga ni genge la mataahiraSimba ni kikundi cha wahuni
Alianza kuvimba mwenyewe na uongozi nao wakampigia kabisaKama ni hilo kweli basi Phiri kwaheri Simba!! maana mashabiki walijua hapangwi kwa kuonewa na kocha kumbe anagoma????
Hebu tupe ukweli tufungue machoHii ni uongo
Nashangaa wanasema yangami najuaga ni Simba yule
Hadai chochoteHebu tupe ukweli tufungue macho
Atapangwa tu mbona ligi yenyewe haijaanza mkuuKwanini hapangwi?
Ni swala. La muda utasema
Sasa hivi sioni unatukana tena mkuu umeokoka?Atapangwa tu mbona ligi yenyewe haijaanza mkuu
Anadai.Amesema ukweli hapo anadai au hadai?