Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,280
- 44,418
Samahani kidogo mkuu...hivi hizo frequency unazitambuaje na inatofautisha vipi kimtandao katika spidi ya internet...
Kwa wenye max malipo na selcom wote nchini... Au smart shops zao
Techno s3
Wakuu,
Nimenunua sim card ya smart (mtandao mpya) ili nifaidi bundles zao ila cha kushangaza inasoma kwenye simu zote kasoro TECNO.
Nimmejaribu kuwacheck ila hawana majibu yanayoeleweka kila mtu ana jibu tofauti.
Niko mwanza, mwenye ujuzi anisaidie!!!
Bradha sio simu za tecno tu hata baadhi ya modem haswa zile za HSDPA!
Heeee hata mimi nina modem ya hsdpa ni shida yaani.
Aiseee atakaye pata solution atujurishe jamani....
bado imenigomea mkuu sijui wapi iko shida!!!!
Cha kuzingatia katika Modem au simu hakikisha hauja Set "3G only" au "WCDMA only" waweza ku set "AUTO" au "WCDMA prefered"
Iwapo umeset 3G only na hawa SMART BRO hawana 3G maeneo yote basi ujue line haitosoma kamwe iwe kwa simu au modem...kwa modem utaambiwa no service...
cha kuzingatia katika simu nenda Setttings>>>>>Mobile networks >>>>>afu set AUTO/WCDMA prefered katika NETWORK MODE
Angalia picha kwa simu
Na iwapo unatumia Modem nenda TOOLS>>>>>OPTIONS>>>>>NETWORK>>>>>NETWORK TYPE afu set WCDMA preferred
May be simu yako ni fake! Mie natumia smart iko fasta kwenye internet!
May be simu yako ni fake! Mie natumia smart iko fasta kwenye internet!
Iko fasta mkoa gani Bibie?
Maana na mm nawatamani sana ila enzi zile za BOL hapa Dar ilikua 2G na line nilitupa
vocha unatoa wapi?