Sim card ndogo inapatikana bongo ?

Sim card ndogo inapatikana bongo ?

Simu yangu inatumia sim card ndogo lakini kwa hapa bongo nimeshindwa kujua kama inauzwa/inapatikana.
Au kuna mtaalamu yoyote anayejua kukata sim card?

wakuu kwa anafaham kwa hapa nda naomba mnielekeze

micro_sim.jpg

Mkuu unaishi wapi?
Kama utakua unaishi Dar ntakushangaa kidogo
 
Simu yangu inatumia sim card ndogo lakini kwa hapa bongo nimeshindwa kujua kama inauzwa/inapatikana.
Au kuna mtaalamu yoyote anayejua kukata sim card?

wakuu kwa anafaham kwa hapa nda naomba mnielekeze

micro_sim.jpg
Voda wanazo nilienda kuswap line wakanipa line mpya iliyo kama kwenye picha hapo juu yaani 2 in 1 unaweza kuitumia kama line ya kawaida au mini sim
 
Back
Top Bottom