Jaman wadau nauliza Kama inaezekana kurudisha line iliyofungiwa toka mwaka Jana to be specific ni line yangu ya tigo ilifungiwa sababu ya kutokusajili kwa kitambulisho cha taifa ila sasa nna kitambulisho.