wenzio wakitoa taarifa bila ushahidi unawaita kizazi cha shetani, ila wewe kusema miraji na salama wanamiliki IPTL bila ushahidi ni halali? Ama kweli nyani haoni k......!
cc FaizaFoxy
Acheni uongo nyie kizazi cha shetani,
Tangu jana kuna maombi ya TOBA, hakuna aliyekufa bali kalala tu mjumbe wa mapenzi ya Mungu Eliya Kizazi cha nne.
Ni kweli Nabii Eliya amefariki na nimepata taarifa hapa posta kuwa alipata wasaa wa kuwaaga waumini wake siku ya Jumapili yao ambayo huwa ni jumanne na pia alipata wasaa wa kuwaaga watumishi wake wote wa branches na watoto wake kuwa ATALALA( ATAKUFA)
Utaharibu uzi wewe, mjadala wa "kizazi cha nyani" ufungwe. Acha watu wajadili kuhusu Siloam CharlesMtekateka, tunaomba utufanulie kidogo, maana taarifa zinakuja nusu nusu
NI HALISI: Kiongozi wa kanisa la Sloam amefariki dunia (amelala) jana saa saba mchana, mda mfupi ujao mfuasi mkuu wa kanisa hilo na kaimu kiongozi Elisha Eliya Miaka 1000 atazumgumza na wanahabari kuwajuza na kuwapeni taratibu za mazishi
kweli mambo mazuri yereee uwiiii...Nimesikia kuna mtu amekufa toka jana asubuhi wanamwombea afufuke hadi saa hii...sasa sijui ameshafufuka ndo nilipenda nijue
We jamaa ni kichwa maji sana!! Mbona ulikuwa unabisha???
Unadhani kila mtu anazusha kama wewe?? Siasa zako chafu unazipeleka kila sehemu.
RUDI SHULE SASA!!!
Acheni uongo nyie kizazi cha shetani,
Tangu jana kuna maombi ya TOBA, hakuna aliyekufa bali kalala tu mjumbe wa mapenzi ya Mungu Eliya Kizazi cha nne.
Atakuja nabii mwingine na mimi namuona katika ulimwengu wa rohoni akiwa anashuka kwa mbalii!Sasa itakuwaje kama Eliya amefariki??
Atakuja nabii mwingine na mimi namuona katika ulimwengu wa rohoni akiwa anashuka kwa mbalii!
Atakuja nabii mwingine na mimi namuona katika ulimwengu wa rohoni akiwa anashuka kwa mbalii!
Kabla ya kuoa ingia kwanza katika ulimwengu wa roho na Bwana atakupa mke mwema. Ninyi mnawazoa juu kwa juu huko mitaani manategemea watakuwa stable wakikutana na watumishi wa Mungu wasiopakwa mafuta?manabii wa siku hizi wanapenda maisha ya mavituzzzz, mapesazz. Hawasisitizi kutubu, kuacha dhambi, hawazungumzii sana upendo bali sauti na matangazo yao ni kama waganga wa kienjeji. Yaani eti utapona,majini yatatoka, utapata utajiri...ukimwi utapona....and then tuma mapesa kwa m..
Matapeli wakubwa. Mnatudanganyia sana wake zetu na hasa wasio na ROHO WA BWANA.
eliya,nabii wa kwanza alipaa,vp yeye?