miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,011
- 3,708
Hakuna kutoposha,huo ndio ukweli,hakuna dhambi duniani. kama kuna dhambi yesu alikuja kufanya nini? Labda uniambie kwamba yesu alikuja kutalii.
Naomba nieleweshwe mambo yafuatayo nipate kujifunza.
kalenda yao inatoka wapi?
Kwanini wanabadili majina?
Yule Nabii wao alitoa wapi mamlaka?
Je kubadili cover kwenye bibilia kunabadili nini?
Ile picha ya nabii akiipaasijui Mbona kama ni photoshop, nisaidieni ata video
Hivi ukristo una madhehebu mangapi?
samahani ninataka kufahamu tu.
soma hapa anavyomuita ......Mjumbe wa mapenzi ya Mungu AD2 MUNGU wa majeshi ....... anaitwa mungu wa majeshi! mtu akiishakutoa kwenye Biblia tu umepoteza dira. Mimi mtu yeyote ashike Biblia yake nami yangu tuombe ukianza sijui majini mahaba sijui nabii nani hatuelewaniEbana eeeeeh!!
soma hapa anavyomuita ......Mjumbe wa mapenzi ya Mungu AD2 MUNGU wa majeshi ....... anaitwa mungu wa majeshi! mtu akiishakutoa kwenye Biblia tu umepoteza dira. Mimi mtu yeyote ashike Biblia yake nami yangu tuombe ukianza sijui majini mahaba sijui nabii nani hatuelewani
tatizo wewe huelewi toka mwanzo wakati wa mitume imani ilikuwa moja ila kulikuwa na makusanyiko ktk nyumba tofauti na hii ndo inatakiwa siyo watu wako maelfu hawajuani kila mtaa eneo kulikuwa na kusanyiko mfano kanisa la Louse mamaake Timotheo na pia ukisoma vizuri kuikuwa na makusanyiko kikabila mf wayunani, kanis ala efeso, filipi, korintho hii ni kutokana na mila umbali na desturi lakini wakiamini kitu kimoja. Sasa hivi kuna Biblia ndio muongozo yoyote anayefuata Biblia na kuamini Yesu alimuokoa ni sahihi ila kuna izi imani za Yesu ni nabii, mara Yehova pekee, mara hakuna utatu ktk Mungu hapo kuna walakini.
chochote tukifanyacho yesu alishalipa garama yake,iwe dhambi au sio dhambi Yesu alishalipa gharama yake,hakuna kitu kinaitwa dhambi. Ukisema dhambi ipo ina maana unakataa kwamba Yesu hakufa msalabani na wala hakuja kwa ajili ya dhambi za wana damu
Yohana 15:3 iansema hakuna upendo mkuu namna hii,mtu kujitoa nafsi yake kwa ajili ya rafiki zake
Yesu alishajitoa kwa ajili yetu ili tuwe huru na dhambi. Mwana akiwaweka huru mnakua huru kweli kweli,tuko huru na kila kitu.
Nampenda Yesu.
labda nikitumia hili neno Imani ndio utaelewa dhehebu nimekwambia linakuja kutokana na mila, desturi au umbali lakini imani ni moja, ndo maana hap tunasema hawa sio waKristo kwasababu hawaamini ktk Kristo period hayo mengine siyo muhimu ndio maana nyaraka za mitume kwa makanisa tofauti zilikuwa ziki address issues kiutofauti na mila zao. Na hata Ufunuo kutoka kwa Mungu mwenyewe anayatambua makanisa madogomadogo ambayo hata hayakuwahi tajwa kwenye Matendo...... nguzo yetu moja ni Upendo huo huvumilia yote.Dhehebu maana yake ni tawi la ukristo dini lenmye tofauti ya kiimani na tawi lingine la kidini.Ukiambiwa madhehebu tofauti ndio maana yake sio vikundi vyenye majina tofauti vyenye ,viongozi tofauti lakini imani ya aina moja.Ukristo uko wa madhehebu mengi yasiyofanana kuna wakatoliki,walutheri,wasabato,wapentekoste,wakoptic,hao sloamu,wayehova witness,akina kibwetere n.k hayo ndio yanaitwa madhebu.Na ukristo ndio dini pekee yenye madhehebu mengi duniani kuliko uislamu na dini zingine.
Chezea mchaga wewe...
Sio ukristo tu,mbona hujajiuliza uislam una madhehebu mangapi!
labda nikitumia hili neno Imani ndio utaelewa dhehebu nimekwambia linakuja kutokana na mila, desturi au umbali lakini imani ni moja,
Dhehebu maana yake ni tawi la dini lenye tofauti ya kiimani na tawi lingine la kidini.Ukiambiwa madhehebu tofauti ndio maana yake. Sio vikundi vyenye majina tofauti vyenye ,viongozi tofauti lakini imani ya aina moja.Ukristo uko wa madhehebu mengi yasiyofanana kuna wakatoliki,walutheri,wasabato,wapentekoste,wakoptic,hao sloamu,wayehova witness,akina kibwetere n.k hayo ndio yanaitwa madhehebu.Na ukristo ndio dini pekee yenye madhehebu mengi duniani kuliko uislamu na dini zingine.
Sijauliza uislam kwa sababu najua uislam hauna madhehebu.
Ila kama unayafahamu naomba unitajie.
chochote tukifanyacho yesu alishalipa garama yake,iwe dhambi au sio dhambi Yesu alishalipa gharama yake,hakuna kitu kinaitwa dhambi. Ukisema dhambi ipo ina maana unakataa kwamba Yesu hakufa msalabani na wala hakuja kwa ajili ya dhambi za wana damu
Yohana 15:3 iansema hakuna upendo mkuu namna hii,mtu kujitoa nafsi yake kwa ajili ya rafiki zake
Yesu alishajitoa kwa ajili yetu ili tuwe huru na dhambi. Mwana akiwaweka huru mnakua huru kweli kweli,tuko huru na kila kitu.
Nampenda Yesu.
tafadhari, wenye maswali juu ya yote yanayoendelea au kufanyika pale madhabahu kuu siloam, mimi nawashauri muchukue hatua ya kwenda pale na kujionea wenyewe kwa macho yenu, pia kuuliza pale pale kwa usilolijua pale kuliko kujitafutia laana isiyo na sababu kwa maneno ya dharau juu kinachofanyika katika madhabahu ya mungu wa eliya. Maana imeandikwa, apandacho mtu ndicho atakacho vuna~ galatia 6:7-8.
Naomba nieleweshwe mambo yafuatayo nipate kujifunza.
kalenda yao inatoka wapi?
Kwanini wanabadili majina?
Yule Nabii wao alitoa wapi mamlaka?
Je kubadili cover kwenye bibilia kunabadili nini?
Ile picha ya nabii akiipaasijui Mbona kama ni photoshop, nisaidieni ata video
mimi sifahamu kuhusu hayo madhehebu mengine hadi niambiwe kitu na nione kiko tofauti na Code of Conduct (Bible) ndio nitafahamu na kuwaeleza mengineyo UKristo ni kuvumiliana na kunia mamoja basiMsabato na mkatoliki wana imani moja?
Sloam na waangilikana wana imani moja?
Kibwetere na wapentekoste wana imani moja?
mimi sifahamu kuhusu hayo madhehebu
hahaaaaaa ulinitega tu..... kifupi sisi tuko inclusive sana na tunafikiri ktk upendo tunaweza kufundishana na kuonyana tukafika pamoja kuliko wengine wanaowaita wenzao kafiri na kuwaua ukienda sivyo tunaambiana tu vinginevyo ni ndugu usone tofauti ndogndogo tunaamini kitu kimoja pamoja na mapungufu yote. Nimekaa maeneo mengi na ktk hayo kwingine hata Mkristo mmoja hakuna na dhehebu fulani hakuna ivyo nimejifunza mengi sana kuhusu madhehebu. naomba niishie hapaBasi usilolijua ni kama usiku wa giza na litakusumbua.Ni homework hiyo, na wewe kalifanyie kazi.