Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 38,905
- 28,059
Na ni kanisa pekee linahimiza watu wanaoitwa mapadre na masista kutokuoa au kuolewa na wanazini na kulewa mvinyo kwa kushindwa kutawala tamaa za mwili
Vipi nasikia Munuo amechukua Nafasi ya Yesu duniani.....
Sasa wale wanaozika maaskofu ndani ya masinagogi ndio wanatueleza ya kuwa aliekufa ana ijara? Embu fungukeni macho!
Ala! Kwani uzinzi na ulevi ni wakatoliki tu? au kwasababu mti mwema ndio unaopigwa mawe? Nina mifano mingi ya mapadri wanofanya mambo makubwa sana kama Kutibu, kufundisha vyuoni , na kazi nyingi sana za kujitolea, ila nyie hivo kwenu sumu. Hao kina Gwajima, mzee wa upako sijui papaa wa upako,munuo sijui kwani skendo zao na wake za watu hatuzijui? angalia huyu aliyeshikwa juzi Fugitive American minister caught in Brazil | WTVR.comMbona haukufafanua kuhusu uzinzi na ulevi unaofanywa na mapadre na masista au ndo dini yenyewe sio? Au ndo ile mnayosema soma neno usifanye ninayotenda? Mnashangaza sana na mapokeo yenu ya kirumi!
Nakuuliza tena.....Mara ya mwisho kupima magonjwa ya akili ni lini...?
Unaweza ukawa na dini ,kanisa au umeokoka lakini huna Yesu!!
Ninachompendea Yesu ni kimoja tu,alifuta dhambi duniani. Hilo tu,kunipa uhuru wa kufanya chochote nikitakacho maana alishalipa garama zake.
I love Jesus.
Ala! Kwani uzinzi na ulevi ni wakatoliki tu? au kwasababu mti mwema ndio unaopigwa mawe? Nina mifano mingi ya mapadri wanofanya mambo makubwa sana kama Kutibu, kufundisha vyuoni , na kazi nyingi sana za kujitolea, ila nyie hivo kwenu sumu. Hao kina Gwajima, mzee wa upako sijui papaa wa upako,munuo sijui kwani skendo zao na wake za watu hatuzijui? angalia huyu aliyeshikwa juzi Fugitive American minister caught in Brazil | WTVR.com
Ninachompendea Yesu ni kimoja tu,alifuta dhambi duniani. Hilo tu,kunipa uhuru wa kufanya chochote nikitakacho maana alishalipa garama zake.
I love Jesus.
Mbona haukufafanua kuhusu uzinzi na ulevi unaofanywa na mapadre na masista au ndo dini yenyewe sio? Au ndo ile mnayosema soma neno usifanye ninayotenda? Mnashangaza sana na mapokeo yenu ya kirumi!
Siku ambapo nilipojua wewe ni mrumi!
Umesikia? Kwa hiyo unafanyia kazi hear say? Kwa taarifa yako hakuna Yesu ila ni KRISTO anatawala! Kwa vile wewe mrumi na babu zako mlishiriki kumuwamba mtini mkijua mmemuua Yesu kumbe aliefufuka ni KRISTO anaetawala kwa uhalisia! Ole wako ewe kerubi wa kirumi!
Umesikia? Kwa hiyo unafanyia kazi hear say? Kwa taarifa yako hakuna Yesu ila ni KRISTO anatawala! Kwa vile wewe mrumi na babu zako mlishiriki kumuwamba mtini mkijua mmemuua Yesu kumbe aliefufuka ni KRISTO anaetawala kwa uhalisia! Ole wako ewe kerubi wa kirumi!
Rudi tena kapime....Psychiatric level yako ipo juu sana...
Nakujibu mara ya mwisho siku nilipogundua wewe ni mrumi nilisimamisha shukrani juu yako! Kwa vile nilidhani shaitwan alie ndani ya roho ya mnyama na vyura watatu keshatoka ndani yako!
Tatizo lako gongo uliokunywa shirati bado imakusumbua nakuhusia uwe mpole na usome NENO kwa ufasihi maradhi yote yanayokusumbua na imani yako haba kama ya mfalme Asa ya kwenda kuwaona sangoma itakwisha!
Wachaa...Daaah.....
Sasa nisikilize kwa makini...Nakushauri uende MUHIMBILI kama upo DSM kwenye Clinic ya Magonjwa ya akili ukapate tiba mara moja...
Na inavyoonekana hilo KAnisa zima za MUNUO ni vichaa....Fanya hima fika mapema
Unaweza ukawa na dini ,kanisa au umeokoka lakini huna Yesu!!
Sikiliza! Kama wewe ni kerubi na uzao wa kizazi nyoka hautanielewa ila kama hautaifanya shingo yako kuwa ngumu na ukakubali ya kuwa NENO la MUNGU ni zaidi ya ufahamu wa hao Madaktari wako wa muhimbili ukatulia ulisome NENO na kupata ufahamu HAKIKA MUNGU ATAJIDHIHIRISHA kwako. Kumbuka Nimekuonya usiwe kama mfalme Asa alieponywa ugonjwa na MUNGU baadae akadanganywa na sangoma MUNGU akamuua kwa vile alikuwa na mahali pa juu! Kila la heri otorongongo!