Silinde atisha mbunge wa Mbozi magharibi

Hongera mkuu kwa kutupa taarifa.

nje ya topic
NAOMBA TWENDE TUKAPIGE KURA KWA dr slaa, lowasa au lipumba. poll imo humu ndani tayari.
 
Watu wanajenga shule,wanatengeneza mtandao wa barabara,wanaweka mtandao wa maji mji au mkoa mzima ye anahangaika na ka kisima kamoja hadi amalize jimbo zima leo
 
Safi sana kamanda.Lakini usisahau kukomboa jimbo la Ileje na pia mbozi mashariki

Hapa nakubali ni mahali sahihi kwa wasanii kwani it seems ni jengo la wasaniiii (ndiyo kwao) vipi wenje na ahadi za kulipa ada? sugu na kuukana uraia wa tanzania na hatimae kuchukua uraia wa burundi? sugu na vitanda vya meta hosptal na rufaa hilo limeishia wapi? na ubogas wa madiwani wetu jijini mbeya hivi unawatenga madiwani wa cdm au nao ni inclusive?
 
Back
Top Bottom