Silinde alipua juu ya ndovu

linchi la wajinga hili, kna sku ttakuwa tayari kjitoa muhanga, hata kwa kumwaga dammu ikiwezekana, kudadeki zenu ccm mnafkr mtaiba milele
 
changieni hoja wanajamvi sio umaamuma tunawashangaa kwani ktk mitandao ya kijamii hakuna ukweli au ni ushabiki km wa waluolewa damu za wa tz.?
 
wabunge wengine mbugila kweli mbunge mzima anabeba gazeti lake la udaku hata hajafanya uchunguzi anaruka nalo wabunge wengine hasala kweli.

Ad hominem.

Hayo magazeti niliyoyataja ni ya udaku?

The New York Times ni gazeti la udaku? The Guardian la UK ni gazeti la udaku?
 
Sio mawaziri tu na debe wanapigiwa kuwa Presidaa!!!Hii ndo Tanzania bora hata Enzi za ukoloni kulikuwa na adabu,Wangekula mijeledi hamsa
 
Achana na wapumbavu hao, wao hata masuala yanayohusu maslahi ya taifa wanadhani tunaongelea habari za ccm tu.
Ni mazuzu. Bosi wao ameenda huko huko wanakosema eti wanatuonea wivu. Hivi huwa anatafuta nini huko maana anamzidi hata Obama katika kutembelea sehemu mbali mbali za Marekani. Anaponiacha hoi ni pale anaposhindwa hata angalau kwa dakika kumi kufika na kutoa pole kwa familia ya gavana wetu Balali na kuweka shada la maua kwenye kaburi lake pamona na kuwa kila siku anashinda huko maana huku ni kama huwa anakuja kutuona mara moja na kuondika! Na mara zote kukiwa na issue nzito kama hii ya kashfa ya pembe za ndovu na wizi wa Escrow ambapo tumesimamishiwa misaada yeye huwa anaondoka nchini. Bunge linajadili yeye anakula bata USA - huko wanakotuonea wivu!
 


Imagine, Membe huyu huyu analilia urais wa nchi. Mtu kama huyu ni hatari sana kwa nchi yetu na ni hawa hawa viongozi recycled wa CCM ambao wakija madarakani wanakuja kuendeleza pale walipoacha wenzao na kuiba zaidi pamoja na kulindiana maslahi yao. Ile documentary ya BBC imechunguzwa toka mwaka 2002 na jamaa wakaenda kwenye sources kujuzwa ukweli badala ya kuhoji watu husika, sasa Membe anakuja na ujinga ule ule wa Kagame kukataa ukweli eti watu wanataka kuchafua nchi? Wanaochafua nchi ni CCM wenyewe kwa mabaya wayafanyayo, ila haya hawayajuwi.
 


Sijuwi nikuite Vengu ama Joti kutokana na ufinyu wa akili yako. Hivi kazi ya ubunge ni kuwakilisha jimbo lake tu na sio maslahi mengine ya taifa? Hizi habari ni za kweli na uzuri kwamba zimechunguzwa kwa muda mrefu kabla dunia kuonyeshwa. Unabisha kitu ambacho hata rais wako anatumbua uwepo wake, una akili kweli wewe? Sasa fikiria mtu kama Membe aje kuwa rais wa nchi kwa ufinyu wa mawazo kama haya, unafikiri tutafika wapi?
 

Achana na watu wasiotumia akili kufikiri
 
Nipeni uprofessor wa kichina mchukue ndovu.
 
ukweli utajulikana humu humu,wazungu wameshatoa ndio kwisha na hizi picha walizoweka wanaongea na watu walitoa wapi?nakumbuka mwaka jana kagasheki alishika wachina wengi dar na mzigo wale wachina wako wapi?na kule zanziba walikamata kontena liko wapi?hii ishu ina ukweli ngoja nichangenye hapo na yangu ndio tujue
 

mapanya (CCM) wanang'ata na kupuliza! iko siku kitaeleweka tu.
 
Yani hata mnaochangia humu kwa kutetea huo upuuzi mnatoa hoja za kipumbafu tu. Hata mnaona na aibu. Mnafanya tu kwa vile ndo fani yenu:kutumiwa kwa buku7. Ndio mwisho wenu nyie.. Hamna tena na mtapotea mpaka humu jf soon. The omen is bad to u fools.
 

Mshangae pia na huyo waziri wako aliyejitutumua kujibu habari za kwenye mtandao!! Naye ni waziri ni waziri wa mitandao ya kijamii na magazeti?!

Tofauti iko wapi? Kwani huyo waziri naye kutumwa bungeni kujibu hizo habari za mitandao? Kama ni hivyo naye akisimama spika aseme waziri wa mitandao na magazeti ni jibu swali alilouliza mwakilishi wa mitandao ya kijamii na magazeti! Hapo vipi?
 
Wamarekani wawaonee wivu watanzania kwa kujengewa reli na bandari wakati wamarekani wamesha maliza mambo yote ya dunia tunayoishi sasa wakokwenye mikakati ya kutafuta maisha katika sayari nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…