Hana akili,mbunge unategemea kutafuta cha kuongea bungeni kwenye online forum?
Tembo na pembe za ndovu wao hawana
Kweli Tanzania tuna laana, waziri wa nchi(Lukuvi) anasimama kujibu hoja anaongea kama vile yupo bar. Utumbo mtupu, Membe naye anajibu tuhuma za Pembe za ndovu, eti wamarekani wanatuonea wivu kwa kuwa china watatujengea reli ya kisasa na bandari. Hawa ndio mawaziri wa Tanzania.
Yaani mbunge mzima anahoji habari aliyosoma kwenye mitandao na magazeti? Hivi ina maana hakwenda na hoja za wananchi wake toka jimboni mwake waliomtuma bungeni? Kuna wabunge si wawakilishi wa watu waliowapigia kura.Shilinde ni mmoja wao kaamua kuwa mwakilishi wa mitandao ya kijamii na magazeti.
Naomba Shilinde akinyoosha mkono kutaka kuongea spika awe anamwambia haya sasa ni zamu ya mwakilishi wa mitandao ya kijamii na magazeti ongea!

Wabunge wengi hasa wa CHADEMA hushinda online,kwenye magazeti na TV hawashindi na wapiga kura kupata hoja za kupeleka bungeni .Mbozi kwenye jimbo la Silinde kulivyojaa matatizo kibao, ndio akae anapoteza muda kuulizia habari za tembo wa Arusha kwani Arusha hakuna mbunge wa kuuliza hilo? Nawapenda wabunge wa Kenya ukiuliza swali la kwenye eneo lisilokuhusu yule mwenye jimbo lake anainuka saa hiyo hiyo na kuja kukutwaga mingumi na miteke kuwa unamwingilia kwenye jimbo lake.Hana akili,mbunge unategemea kutafuta cha kuongea bungeni kwenye online forum?
Wabunge wengi hasa wa CHADEMA hushinda online,kwenye magazeti na TV hawashindi na wapiga kura kupata hoja za kupeleka bungeni .Mbozi kwenye jimbo la Silinde kulivyojaa matatizo kibao, ndio akae anapoteza muda kuulizia habari za tembo wa Arusha kwani Arusha hakuna mbunge wa kuuliza hilo? Nawapenda wabunge wa Kenya ukiuliza swali la kwenye eneo lisilokuhusu yule mwenye jimbo lake anainuka saa hiyo hiyo na kuja kukutwaga mingumi na miteke kuwa unamwingilia kwenye jimbo lake.
Lakini hii ni tabia ya wabunge wa CHADEMA huwezi wasikia wakiulizia habari za majimbo yao mara nyingi. Kutwa Utawasikia wanaongelea IPTL,EPA,DOWANS,RICHMOND au hoja hewa hewa za hivyo wanavyoita vibomu vya nchi .Mi huwa sielewi wamefata nini bungeni na ni wabunge wanaomwakilisha mwananchi wa wapi?
Wabunge wengi hasa wa CHADEMA hushinda online,kwenye magazeti na TV hawashindi na wapiga kura kupata hoja za kupeleka bungeni .Mbozi kwenye jimbo la Silinde kulivyojaa matatizo kibao, ndio akae anapoteza muda kuulizia habari za tembo wa Arusha kwani Arusha hakuna mbunge wa kuuliza hilo? Nawapenda wabunge wa Kenya ukiuliza swali la kwenye eneo lisilokuhusu yule mwenye jimbo lake anainuka saa hiyo hiyo na kuja kukutwaga mingumi na miteke kuwa unamwingilia kwenye jimbo lake.
Lakini hii ni tabia ya wabunge wa CHADEMA huwezi wasikia wakiulizia habari za majimbo yao mara nyingi. Kutwa Utawasikia wanaongelea IPTL,EPA,DOWANS,RICHMOND au hoja hewa hewa za hivyo wanavyoita vibomu vya nchi .Mimi huwa sielewi wamefata nini bungeni na ni wabunge wanaomwakilisha mwananchi wa wapi?

Huyu ndo anataka kuwa raisi! Mimi natafuta uraia wa somalia.
Hii nchi hakuna kiongozi. Bunge limekuwa kama lango la jiji, taarab. Du!
.Yaani mbunge mzima anahoji habari aliyosoma kwenye mitandao na magazeti? Hivi ina maana hakwenda na hoja za wananchi wake toka jimboni mwake waliomtuma bungeni? Kuna wabunge si wawakilishi wa watu waliowapigia kura.Shilinde ni mmoja wao kaamua kuwa mwakilishi wa mitandao ya kijamii na magazeti.
Naomba Shilinde akinyoosha mkono kutaka kuongea spika awe anamwambia haya sasa ni zamu ya mwakilishi wa mitandao ya kijamii na magazeti ongea!
Hizo book 7 zinawatoa akili kiasi hicho? Hivi kila anachozungumzia mbunge bungeni lazima awe ametumwa na wapiga kura wake? Ondoa hapa maneno ya kwenye vijiwe vya kahawa JF ni mahali pa watu wenye akili hawawezi kuusikiliza huo mchango wako utumbo. Dr. Slaa kwa mara ya kwanza alipoibua wizi wa EPA kina Lowassa walitumia lugha hiyo hiyo eti hayo ni mambo ya kwenye mitandao. Kwani mambo ya kwenye mitandao hayawekwi na binadamu.
Ningekutukana tusi baya lakini naogopa ban.
Tiba
Kamanda Silinde amehoji juu ya utoroshwaji wa pembe za ndovu na Mchina wa JK,ameomba muongozo kwa spika.Membe ameanza kwa kumfagilia mchina na kusema ni uzushi.Amesema kuwa taarifa ni ya kuunga-unga kwa ajili ya kuichafua nchi