Silinde alipua juu ya ndovu

Silinde alipua juu ya ndovu

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
57,979
Reaction score
134,098
Kamanda Silinde amehoji juu ya utoroshwaji wa pembe za ndovu na Mchina wa JK,ameomba muongozo kwa spika.Membe ameanza kwa kumfagilia mchina na kusema ni uzushi.Amesema kuwa taarifa ni ya kuunga-unga kwa ajili ya kuichafua nchi.Hoja yangu :Naomba kujuzwa kabla ya jana ni lini Membe alifanya uchunguzi kama Mchina hakuondoka na ndovu.hili nadhani Mh.Silinde angelihoji pia.Maana waliotoa kashfa wamefanya uchunguzi.
 
Kamanda Silinde amehoji juu ya utoroshwaji wa pembe za ndovu na Mchina wa JK,ameomba muongozo kwa spika.Membe ameanza kwa kumfagilia mchina na kusema ni uzushi.Amesema kuwa taarifa ni ya kuunga-unga kwa ajili ya kuichafua nchi

Yaani mbunge mzima anahoji habari aliyosoma kwenye mitandao na magazeti? Hivi ina maana hakwenda na hoja za wananchi wake toka jimboni mwake waliomtuma bungeni? Kuna wabunge si wawakilishi wa watu waliowapigia kura.Shilinde ni mmoja wao kaamua kuwa mwakilishi wa mitandao ya kijamii na magazeti.

Naomba Shilinde akinyoosha mkono kutaka kuongea spika awe anamwambia haya sasa ni zamu ya mwakilishi wa mitandao ya kijamii na magazeti ongea!
 
tanzania ni zaid ya the comendy....Bunge letu ni zaidi ya futui
 
Yaani mbunge mzima anahoji habari aliyosoma kwenye mitandao na magazeti? Hivi ina maana hakwenda na hoja za wananchi wake toka jimboni mwake waliomtuma bungeni? Kuna wabunge si wawakilishi wa watu waliowapigia kura.Shilinde ni mmoja wao kaamua kuwa mwakilishi wa mitandao ya kijamii na magazeti.

Naomba Shilinde akinyoosha mkono kutaka kuongea spika awe anamwambia haya sasa ni zamu ya mwakilishi wa mitandao ya kijamii na magazeti ongea!

Watu kama nyie siku zenu zinahesabika, I wish ningekuwa na AK47 nikutoe utumbo tuu..aarghh
 
Yaani mbunge mzima anahoji habari aliyosoma kwenye mitandao na magazeti? Hivi ina maana hakwenda na hoja za wananchi wake toka jimboni mwake waliomtuma bungeni? Kuna wabunge si wawakilishi wa watu waliowapigia kura.Shilinde ni mmoja wao kaamua kuwa mwakilishi wa mitandao ya kijamii na magazeti.

Naomba Shilinde akinyoosha mkono kutaka kuongea spika awe anamwambia haya sasa ni zamu ya mwakilishi wa mitandao ya kijamii na magazeti ongea!

una akili kweli???
 
Wajinga Sana Inakurupuka kama Mizuzu "SIASA ZA MATUKIO " tu
WAMEUMBUKA KAmanda Membe Camillius Bernard Amewashushua.
 
Kweli Tanzania tuna laana, waziri wa nchi(Lukuvi) anasimama kujibu hoja anaongea kama vile yupo bar. Utumbo mtupu, Membe naye anajibu tuhuma za Pembe za ndovu, eti wamarekani wanatuonea wivu kwa kuwa china watatujengea reli ya kisasa na bandari. Hawa ndio mawaziri wa Tanzania.
 
Hana akili,mbunge unategemea kutafuta cha kuongea bungeni kwenye online forum?

Naona wewe ndio upo shallowminded, hivi kwa alichokijibu Membe kina mashiko? Wakati mwingine muwe mnaweka ushabiki pembeni hasa kwenye masula ya kitaifa.
 
Kweli Tanzania tuna laana, waziri wa nchi(Lukuvi) anasimama kujibu hoja anaongea kama vile yupo bar. Utumbo mtupu, Membe naye anajibu tuhuma za Pembe za ndovu, eti wamarekani wanatuonea wivu kwa kuwa china watatujengea reli ya kisasa na bandari. Hawa ndio mawaziri wa Tanzania.

Kama hao Wachina wanatupenda kihivyo na Wamarekani wantuonea wivu kihivyo!

Inakuwaje jana (06/11/14) Professor Kikwete anakwenda ku-checkiwa afya yake Marekani?

Hao Wamarekani wanaotuonea wivi si watamulazia kabisa Professor?! Kweli Baniani mbaya KIATU chake dawa.
 
Yaani mbunge mzima anahoji habari aliyosoma kwenye mitandao na magazeti? Hivi ina maana hakwenda na hoja za wananchi wake toka jimboni mwake waliomtuma bungeni? Kuna wabunge si wawakilishi wa watu waliowapigia kura.Shilinde ni mmoja wao kaamua kuwa mwakilishi wa mitandao ya kijamii na magazeti.

Naomba Shilinde akinyoosha mkono kutaka kuongea spika awe anamwambia haya sasa ni zamu ya mwakilishi wa mitandao ya kijamii na magazeti ongea!

Nlibahatika kuiona kwenye Channel ya Aljazeera! sidhani kama ni mitandao ya kijamii na magazeti tu. Tunatakiwa kujua kuwa mambo hayaanzi hivihivi tu! lazima kuna sababu kama sio ukweli
 
Wajinga Sana Inakurupuka kama Mizuzu "SIASA ZA MATUKIO " tu
WAMEUMBUKA KAmanda Membe Camillius Bernard Amewashushua.

Nadhani wewe ndo zuzu namba 2 baada ya hao unaowasifia.. Inawezekana ulivyokuwa zuzu wala hujui hicho kinachosemwa.. Umekurupuka tu kwa kuwa mazuzu wenzio wameikataa..
 
Yaani mbunge mzima anahoji habari aliyosoma kwenye mitandao na magazeti? Hivi ina maana hakwenda na hoja za wananchi wake toka jimboni mwake waliomtuma bungeni? Kuna wabunge si wawakilishi wa watu waliowapigia kura.Shilinde ni mmoja wao kaamua kuwa mwakilishi wa mitandao ya kijamii na magazeti.

Naomba Shilinde akinyoosha mkono kutaka kuongea spika awe anamwambia haya sasa ni zamu ya mwakilishi wa mitandao ya kijamii na magazeti ongea!

Hana akili,mbunge unategemea kutafuta cha kuongea bungeni kwenye online forum?

Chakushangaza Waziri mzima membe naye anajibu tuhuma za kwenye mitandao!! Kwahiyo ni wajinga wawili wamekutana.
 
Yaani mbunge mzima anahoji habari aliyosoma kwenye mitandao na magazeti? Hivi ina maana hakwenda na hoja za wananchi wake toka jimboni mwake waliomtuma bungeni? Kuna wabunge si wawakilishi wa watu waliowapigia kura.Shilinde ni mmoja wao kaamua kuwa mwakilishi wa mitandao ya kijamii na magazeti.

Naomba Shilinde akinyoosha mkono kutaka kuongea spika awe anamwambia haya sasa ni zamu ya mwakilishi wa mitandao ya kijamii na magazeti ongea!

wewe ndo unakuwa si mweewa kwa mbunge wa chadema anawakilisha wananchi wote wa nchi hii kwa hyo si hjabarti? Na kwani hyo haiwahusu wananchi wote wa nchi hii? Ccm ni ukoo wa panya aisee watatumaliza watanzania!
 
Yaani mbunge mzima anahoji habari aliyosoma kwenye mitandao na magazeti? Hivi ina maana hakwenda na hoja za wananchi wake toka jimboni mwake waliomtuma bungeni? Kuna wabunge si wawakilishi wa watu waliowapigia kura.Shilinde ni mmoja wao kaamua kuwa mwakilishi wa mitandao ya kijamii na magazeti.

Naomba Shilinde akinyoosha mkono kutaka kuongea spika awe anamwambia haya sasa ni zamu ya mwakilishi wa mitandao ya kijamii na magazeti ongea!

Mkuu, Mh D Shilinde, km MP anawakilisha wananchi wote, waliompigia kura na wasiompigia kura..., kiapo cha MP ni kimoja!

Govt ipo, iende court kufungua malalamiko khs hizo habari,
AG anasubiri nn?
Je ikija kuthibitika kuna ukwel?
Hakuna haja ya kuhamaki, himiza AG akafungue case ya malalamiko.
 
Yaani mbunge mzima anahoji habari aliyosoma kwenye mitandao na magazeti? Hivi ina maana hakwenda na hoja za wananchi wake toka jimboni mwake waliomtuma bungeni? Kuna wabunge si wawakilishi wa watu waliowapigia kura.Shilinde ni mmoja wao kaamua kuwa mwakilishi wa mitandao ya kijamii na magazeti.

Naomba Shilinde akinyoosha mkono kutaka kuongea spika awe anamwambia haya sasa ni zamu ya mwakilishi wa mitandao ya kijamii na magazeti ongea!

Hana akili,mbunge unategemea kutafuta cha kuongea bungeni kwenye online forum?

Mlitaka azitoe wapi?au hamjui maana ya online forum?au hizo za online haziandikwi na watu? Ingekua hivyo uhamiaji wasingetengua ajira za wale makopro maana ni habari za mitandaoni.

In an accountant point of view, I bet your brains' debit and credit sides are no corresponding to each other.
 
Kamanda Silinde amehoji juu ya utoroshwaji wa pembe za ndovu na Mchina wa JK,ameomba muongozo kwa spika.Membe ameanza kwa kumfagilia mchina na kusema ni uzushi.Amesema kuwa taarifa ni ya kuunga-unga kwa ajili ya kuichafua nchi
Huyu Membe amejikanyaga na hata mtoto mdogo angedharau maneno yake.Eti wanatuonea wivu?Nani aionee wivu Tanzania?
 
Kwa majibu ya waziri wa nchi nimeamini hatuna viongozi wa serikali...Eti habari hii sijaisikia na anaielezea sasa anapata wapi ya kuongea wakati haijui..Lukuvi..

Membe anasema Marekani wanaona Nongwa kweli???kwa kipi kwa Tanzania au kwa mikataba feki..ya ujenzi wa Reli na Bandari.Kwani yule mwekezaji wa Mwakyembe wa Treni kaishia wapi??

Nae Prof Anna Tibaijuka amepewa Bil.1.6 kujenga shule tena wamemwekea kwenye Account yake..

Jamani Tanzania yangu unaongozwa na wezi tu pole kwa maumivu..
 
Back
Top Bottom