Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,359
- 111,650
siku moja inatesa na inakuwa ndefu saaana' ila haiui.
Kwani hiyo harusi walipanga ifanyike the very next day?
Kitu pekee kinachotia shaka ni kutokujiana hali tu, lakini kama yu bukheri wa afya sidhani kama kuna shida...
Kumbuka hawaishi aribu, na njia pekee wanayoitegemea ni mawasiliano ya simu...lolote laweza kutokea mathalani upotevu wa simu, namna ya kutia simu umeme, uharibifu...n.k