Silent killers

Silent killers

Hii stori yako unasababisha nianze kujifikiria upya!!
 
Hiyo story yako Ina tuharibia wengine personality zetu bana
 
Kwani lazima watu wajue tunafanya nini au tukoje. Wengine tunaamua kuwa kimya tu kwa sababu hatuoni sababu ya kushare mambo yetu. Issue personal ni personal not for the public. Acheni kutuita SK watu tunaopenda privacy
 
Hahah bora mlevi wa pombe kuliko silent killer wa wanawake / wanaume duh! Ni janga waogope.
 
Kwa muktadha wa story,huitaji kuwa SK kumng'oa mfanyakazi mpya kazini...,anaetegemea usafiri wa jumuiya kwenda na kurudi kwenye sherehe..,anaeishiwa na kifurushi...,mwenye simu ya Megapixels ndogo!!

Nashukuru kwa kusema vizuri..
hakuna SKs..
kuna watu wanaojua kutumia tu shida za watu kupata wanachotaka
Period..Wameingia wa3
Vidada vyenyewe vya suku izi..Ptuu!!kuna wadau washapanga nusu ya first eleven ya TP Mazembe..afu kenyewe sijui hakajui au ndo macho makavu...
kuna baadhi vimekuja hapa kwa ofisi..
ikifika lunch hour lazima usikie simu ianaita.Oh kaka fulani are you that busy..
Haya ..yetu sie maombi..
Mie nakumbuka nilikuwa na jamaa angu angu tulianza naye kai.
Ilikuwa ikifika lunch hour nanaimbia mwana sie tuvute 15 mins wakubwa watangulie sie twende in our affordable places kwa amani..
The moments and time you want or struggle to be as equal na watu uliowakuta pahala kimatumizi utaumia au kuwa desperate..
Just be you and live your normal lifestyle..
 
Back
Top Bottom