MasterP.
JF-Expert Member
- Jun 5, 2013
- 8,222
- 6,716
Ukiwaona hawa Viumbe usiku tafadhali usiwapige hawa ni watu Paka watu hawa.
Hao waliuwa wakilinda kura zao zisiibiwe
Ukiwaona hawa Viumbe usiku tafadhali usiwapige hawa ni watu Paka watu hawa.
Sasa kama ni wa Nazareth, anahusikaje na Tanzania !!!Yote haya hayafui dafu mbele ya Jina lenye nguvu la Yesu wa Nazareth!
dah spidi zote nikajua nakutana na atomic bomb, AK47 nk.
ha ha ha kumbe tunguli??
Sasa kama ni wa Nazareth, anahusikaje na Tanzania !!!
Ukiwaona hawa Viumbe usiku tafadhali usiwapige hawa ni watu Paka watu hawa.
![]()
Amini unachoamini. Una uhuru kamili. Mimi vivyo hivyo. Hata nikiamua kuamini na kuabudu jiwe, kaburi, mlima, mto ni haki yangu. Yesu Anitosha!kuamini jina la binadamu mwenzako aliepewa cheo cha utume ni upuuzi uliopitiliza,MUNGU mkuu alieumba kila kilichopo dunian na mbinguni ndie wa kumtegemea na sio kiumbe chochote wala binadamu yeyote,ukiamini jina la binadam mwenzako linakuponya amini hata la baba au mama yako linauwezo sababu yote ni majina tu.
Kwanini umecheka Mkuu Mandingo? Silaha za maangamzi hizo (Weapons of Mass Destruction)Hahahaha imenibidi kucheka tu!
[/TD]
[/TD]
[/TD]Waache wamuaminiYesu wao huku wakirogeka nakuumwa na maradhi ya ajabu unatakiwa umuaminiMwenyeezi Mungu na kumuomba yeye peke yake akulinde na uchawi na mshetani hakuna Mlinzi Zaidi ya Mwenyeezi Mungu sio Bwana Yesu hana ulinzi wowote yeye mwenyewe alimuomba Mungu amuokoe na kikombe cha mautiatawezaje kukulinda wewe?wakati Wakifo chake alishindwa kujlinda yeye mwenyewe Bwana Yesu?kuamini jina la binadamu mwenzako aliepewa cheo cha utume ni upuuzi uliopitiliza,MUNGU mkuu alieumba kila kilichopo dunian na mbinguni ndie wa kumtegemea na sio kiumbe chochote wala binadamu yeyote,ukiamini jina la binadam mwenzako linakuponya amini hata la baba au mama yako linauwezo sababu yote ni majina tu.
Fanya uchunguzi na utafiti wa maneno yangu utagunduwa ninacho kisema kama ni cha ukweli au maneno ya uongo chunguza usibishe pasipo kuchunguza Mkuu Mgiriknapata shida sana kuelewa juu ya hawa wanyama.
Mnyama ni kiumbe kilichoumbwwa na mungu na hakina utashi kama wa binadamu sasa iweje leo kihusishwe na uchawi? Huyo paka anajifunzia wapi uchawi kama si usanii wetu sisi wanadamu?
Natambua kuwa Mungu n mwenye huruma sana kwetu sisi sasa leo anawezaje kumuumba mnyama awe mchawi?.
Hapana hapa elezen ukweli
Eti ni kweli kuwa tofauti ya ukumbi wa Disco na kanisa ni msalaba ?????( eti wanasema kote kuna live band)Yote haya hayafui dafu mbele ya Jina lenye nguvu la Yesu wa Nazareth!
Naiona dharau na kejeli katika sentensi zako hizi mbili. Yote ni sawa. Nenda kokote moyo wako unakokutuma kutegemea na bendi uipendayo. Lakini pia kumbuka kuacha maelekezo sahihi ili siku utakaponyamaza kimya (usiweze tena kutoa kejeli na dharau hizi) wapendwa wako waliobaki wajue mahali pazuri pa kuagana nawe (kanisani/msikitini vs ukumbi wa disco). Na unaweza kuacha maagizo ili matunguri kama haya yawekwe katika kaburi lako ili yakawe kumbukumbu kwamba ulipokuwa hai uliwahi kumiliki "silaha za maangamizi". Binadamu!Eti ni kweli kuwa tofauti ya ukumbi wa Disco na kanisa ni msalaba ?????( eti wanasema kote kuna live band)
Kwanini umecheka Mkuu Mandingo? Silaha za maangamzi hizo (Weapons of Mass Destruction)
[h=3]FAHAMU KUHUSU BUNDUKI & MISHALE YA KICHAWI.[/h]
[TABLE="align: center"]
<tbody>[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Juu na chini mfano wa picha za bunduki za kichawi.[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]
[TABLE="align: center"]
<tbody>[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]
[TABLE="align: center"]
<tbody>[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mshale.[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]
Ninapo sema bunduki na mishale, sizungumzii bunduki na mishale unayo ifahamu wewe katika ulimwengu wa mwili. Hapa ninazungumzia bunduki na mishale katika ulimwengu wa kiroho ambazo hufanya kazi sawa sawa na bunduki na mishale katika ulimwengu wa nyama. Haimaanishi kuwa wachawi hutumia bunduki na mishale pekee, lah! Nime taja silaha hizo mbili, kama mifano tu ya silaha nyinginezo zijulikanazo katika ulimwengu wa nyama. Hivyo basi wachawi hutumia silaha nyingine nyingi tu kama vile mikuki, upinde, mawe, mashoka,mapanga, visu, moto, maji na silaha yoyote ile ya uharibifu unayo weza kuidhani.