Silaha za GOMs ziliibiwa Uganda

Status
Not open for further replies.

fangfangjt

JF-Expert Member
Apr 25, 2008
571
139
kuna tetesi silaha nyingi za jeshi letu ziliibiwa Uganda baada ya vita na Idd Amin. Hawakua na documents zinazo onyesha zimenunuliwa lini , kwa nani wala zina expire lini.
Ndio maana hawajajua namna ya kuzitunza
 
HAYO NDIO MATOKEO YA WIZI...Wacha yatulipukie.Waliyemuibia Iddi Amin kesha kufa hizo ni laana za WIZI.
 
kuna tetesi silaha nyingi za jeshi letu ziliibiwa Uganda baada ya vita na Idd Amin. Hawakua na documents zinazo onyesha zimenunuliwa lini , kwa nani wala zina expire lini.
Ndio maana hawajajua namna ya kuzitunza

Mwingine katuambia milipuko ilisababishwa makusudi ili kufunika wizi wa slaa, haya tunasubiri uzushi mwingine tena!
 
kuna tetesi silaha nyingi za jeshi letu ziliibiwa uganda baada ya vita na idd amin. Hawakua na documents zinazo onyesha zimenunuliwa lini , kwa nani wala zina expire lini.
Ndio maana hawajajua namna ya kuzitunza

punguza kahawa kunywa maziwa
 
Wengine wanasema yameibwa toka Uganda na wengine yameibiwa. Wengine wansema yaliisha muda wake. jamani Watanzania mbona tupo mabomu kiasi hiki?
 
kama ni uganda, basi inawezekana itakuwa zilitekwa siyo kuiibiwa (wizi)
 
yes...yawezekana hayakuibwa bali wali confiscate kuhofia retaliation after the war
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom