Silaha ya mwanamke ni ipi?

Silaha ya mwanamke ni ipi?

Nimekaa nikawaza hili nisipate jibu sahihi. Najia silaha ya mtoto ni kulia. Silaha ya mwanaume ni pesa. Silaha ya mwanamke ni ipi. Nimejaribu kuwazua nikadhani ni utii. Naomba mtazamo wako tafadhali
Mvuto
 
silaha kuu ya MWANAMKE ni MWANAUME.....mengine mbwembwe tuu.....
 
Tafuta maana ya hilo neno, utagundua ndicho kitu wanawake wanakifanya kwa ustadi mkubwa.
Kwa haraka maana yake ni kudhibiti kitu na kukitenda utakavyo. Sasa huyu mwanamke anatumia nini kudhibiti hivi?
 
Mpe lift kwenye bodaboda yako atajua umempa kwakuwa kuna kitu unataka umuombe,
Msamehe nauli kwenye daladala atajua umefanya hivyo kuna kitu unataka umuombe,
Mwambie mpangaji mwenzagu mie kazi zinanibana naomba mie niwe nahemea wewe upike tule wote atajua ndio safari hiyo inaanza,
Mwambie nataka uje dukani kwangu kuna nguo nikiziangalia ni saizi yako kabisa sihitaji pesa njoo tu uchukue atajua unafanya hivyo kuna kitu unahangaika namna ya kukipata kutoka kwake.
................
NI KITU GANI HICHO?(ndio siraha yake kubwa hata kazi ofisini anapata).



MAGUFULI4LIFE.
 
Kama.ulilelewa na Mama yako...hakuna alicho offer...ulikua unafaidika Nini na papuchi ya Mama ako?... Alikujali, alikuhudumia,alikufulia,alikubembeleza alikube mgogoni,.. akakupikia akakulisha, akakuogesha ..akakufundisha Mengi...wengine waliwasomesha kwa jasho na Damu...

Leo hii KWAKUa TU una mboo inasimama unachoona kwa mwanamke Ni papuchi TU.

Akili za KUWAZA ngono...haya ndo matokeo Yake. Upumbafu umekujaa
Ahsante
 
Back
Top Bottom