Sikutendewa Haki Tanga . . .

mmh; wee babu tangu nikufundishe kuhashuana imekuwa tabu.

Heri ya Mwaka mpya!

Yaani bange zako hukuziacha huko huko 2012?

hata sijui nikwambie nini....

may be.... Heri ya mwaka mpya na wewe!
 
hadi nimetoka Tanga, hakuna aliyeweza kunitambua achilia mbali kunitazama kwa macho ya samaki na Paka.

Mshindwe midume nyie wachoyo wa mali zenu.

Happy New Year, bora niwasamehe bure

ulitaka utambuliwe ili??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…