Sikutendewa Haki Tanga . . .

pole sana, ntaongea na babu awatie upofu wote ambao hawakukutendea haki.
 
ha ha ha, chips harage? Umenishusha sana.

Kongosho Wa-engereza wakisikia unasema chips maharage ni kukushusha watakushangaa kwani wao chips maharage,chips samaki na chips njegere ndio msosi wa high street huo kama take away
 
hao nao wanajua kula tangu lini?

Usiku wanatenga majani tu kama sie tumekuwa mbuzi.

Kongosho Wa-engereza wakisikia unasema chips maharage ni kukushusha watakushangaa kwani wao chips maharage,chips samaki na chips njegere ndio msosi wa high street huo kama take away
 
mwakani nitavaa mask
akyanani wamenitenda vibaya sana

hadi Nitonye eti akapanda bei kwangu?
Can u imagine?

h haaaaaaaaaaa, ulikuwa ignored ya kufa mtu, lol!
uzeee mbaya sana rafiki
 
wee si ulibanwa na kibebi chako, afu wee mrefu ivo, ingenikaba koo

hata mimi ningekusaidia kama ni hilo sema ulikua wajificha kama utando wa buibui....
 
mwakani nitavaa mask
akyanani wamenitenda vibaya sana

hadi Nitonye eti akapanda bei kwangu?
Can u imagine?
ha haaaaa, rafiki ulikosea, ungepita kwetu wau wazima wenzako kwanza kwa ushauri...
si unajua palipo na wengi hakiharibiki kitu?
wanasemaga there is always next time. usikonde rafiki
 
hadi nimetoka Tanga, hakuna aliyeweza kunitambua achilia mbali kunitazama kwa macho ya samaki na Paka.

Mshindwe midume nyie wachoyo wa mali zenu.

Happy New Year, bora niwasamehe bure
biashara matangazo inaelekea hukujitangaza vya kutosha...ulizubaa ki-Analojia ulitakiwa uchangamke ki-Dianalojia
 
mwakani nitavaa mask
akyanani wamenitenda vibaya sana

hadi Nitonye eti akapanda bei kwangu?
Can u imagine?

utalijua jiji na mwaka ndio unaisha hivyo njoo ulale kwangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…