Sikutegemea Wasira hataonekana

Sikutegemea Wasira hataonekana

sirjohn

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2014
Posts
767
Reaction score
679
Ama kweli ukitaka ujue kutetea jimbo siyo lelemama na siyo kazi ndogo muulize mzee Wasira; haikuwa rahisi kutokumuona wasra kwenye kampeni za kumnadi Pombe.

Wasra hiyo ndiyo CDM ulisome itakufa baada ya uchaguzi wa 2010 sasa badala yake unakufa wewe na CCM yako
 
ama kweli ukitaka ujue kutetea jimbo siyo lelemama na siyo kazi ndogo muulize mzee wasira; haikuwa rahisi kutokumuona wasra kwenye kambeni za kumnadi pombe.

wasra hiyo ndiyo CDM ulisome itakufa baada ya uchaguzi wa 2010 sasa badala yake unakufa wewe na ccm yako

Bulaya anangoja kuapishwa tu anapiga mafuriko balaa yan jimbo lile Bulaya kalibeba kiulaini
 
Kati ya watu ambao inabidi taifa iwasahau ili lisonge mbele ni wasira.
 
Nae alikua anautaka uwaziri!!!

alitaka urais c uwaziri mkuu... unaambiwa huyu mzee hakuna cheo ndani ya serikali hajapitia... ameshindwa urais tu....unaambiwa toka mwl mpaka jk yumo
 
Ama kweli ukitaka ujue kutetea jimbo siyo lelemama na siyo kazi ndogo muulize mzee Wasira; haikuwa rahisi kutokumuona wasra kwenye kampeni za kumnadi Pombe.

Wasra hiyo ndiyo CDM ulisome itakufa baada ya uchaguzi wa 2010 sasa badala yake unakufa wewe na CCM yako

Wasira ameshajikatia tamaa maana moto wa ukawa ni hatari na anauelewa
 
alitaka urais c uwaziri mkuu... unaambiwa huyu mzee hakuna cheo ndani ya serikali hajapitia... ameshindwa urais tu....unaambiwa toka mwl mpaka jk yumo

Pia umesenja
 
Ama kweli ukitaka ujue kutetea jimbo siyo lelemama na siyo kazi ndogo muulize mzee Wasira; haikuwa rahisi kutokumuona wasra kwenye kampeni za kumnadi Pombe.

Wasra hiyo ndiyo CDM ulisome itakufa baada ya uchaguzi wa 2010 sasa badala yake unakufa wewe na CCM yako

Mwache aende na mafuriko ya lowasa
 
Ama kweli ukitaka ujue kutetea jimbo siyo lelemama na siyo kazi ndogo muulize mzee Wasira; haikuwa rahisi kutokumuona wasra kwenye kampeni za kumnadi Pombe.

Wasra hiyo ndiyo CDM ulisome itakufa baada ya uchaguzi wa 2010 sasa badala yake unakufa wewe na CCM yako

Wasira anapambana na mwana ccm mwenzie Esther Bulaya.
Chadema nasikia walikuwa washaingia chaka
 
wasira ni bora angekaa pembeni apumzike. wana bunda wanamtaka bulaya aingie bungeni...
 
Muea hatuwezi kuongozwa na mwanamke Mura. Wasira ndo.chaguk letu
 
Back
Top Bottom