Young Warlock
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 328
- 112
Mkuu, wana Bunda bado wanamhitaji Wasira. Nyie kama hamnui umuhimu wa wazee endeleeni hivyo
wazee tunao wengi.....Kingunge incl.
Mkuu, wana Bunda bado wanamhitaji Wasira. Nyie kama hamnui umuhimu wa wazee endeleeni hivyo
Muea hatuwezi kuongozwa na mwanamke Mura. Wasira ndo.chaguk letu
Ama kweli ukitaka ujue kutetea jimbo siyo lelemama na siyo kazi ndogo muulize mzee Wasira; haikuwa rahisi kutokumuona wasra kwenye kampeni za kumnadi Pombe.
Wasra hiyo ndiyo CDM ulisome itakufa baada ya uchaguzi wa 2010 sasa badala yake unakufa wewe na CCM yako

Ana mikoba nini?Mkuu, wana Bunda bado wanamhitaji Wasira. Nyie kama hamnui umuhimu wa wazee endeleeni hivyo
Muea hatuwezi kuongozwa na mwanamke Mura. Wasira ndo.chaguk letu
Muea hatuwezi kuongozwa na mwanamke Mura. Wasira ndo.chaguk letu
Ama kweli ukitaka ujue kutetea jimbo siyo lelemama na siyo kazi ndogo muulize mzee Wasira; haikuwa rahisi kutokumuona wasra kwenye kampeni za kumnadi Pombe.
Wasra hiyo ndiyo CDM ulisome itakufa baada ya uchaguzi wa 2010 sasa badala yake unakufa wewe na CCM yako
Msisahau alishakuwa pia mbunge wa NCCR enzi za Mrema

Nafikiri una mawazo ya utapiamlo umekosa maada ya kujadili na umeona hyo ndio uamke nayo sijui labda kiwango chako cha elimu umesoma kweli maana kama hauna shule kichwani mwako basi unahtaji ukombozi wa kifikra
Kati ya watu ambao inabidi taifa iwasahau ili lisonge mbele ni wasira.
Muea hatuwezi kuongozwa na mwanamke Mura. Wasira ndo.chaguk letu
Sio kila Mzee anahitajika, wanapotosha vijana kwa kuwaonyesha kuwa Bungeni ni sehemu ya kwenda kulala.Mkuu, wana Bunda bado wanamhitaji Wasira. Nyie kama hamnui umuhimu wa wazee endeleeni hivyo