K Kwamkono JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 549 Reaction score 77 Oct 12, 2015 #41 Mzee maji yameshamfikia puani hana jimbo tena.
Mr.Teacher JF-Expert Member Joined Sep 8, 2015 Posts 450 Reaction score 176 Oct 12, 2015 #42 Mwambie ndio kisha potea kwenye ulimwengu wa siasa hivyo
simplemind JF-Expert Member Joined Apr 10, 2009 Posts 16,694 Reaction score 9,580 Oct 12, 2015 #43 Kugombea ubunge enzi hizi siyo lelema. Ole Sendeka baada kuona mambo mazito ameamua kuimba taarabu mikutano ya mgombea mwenza Samia Suluhu.
Kugombea ubunge enzi hizi siyo lelema. Ole Sendeka baada kuona mambo mazito ameamua kuimba taarabu mikutano ya mgombea mwenza Samia Suluhu.