Sikutegemea EAL !Bado Hatujawa watanzania

Pius J. Kiwarya Lema

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
1,097
566
Inavyonekana leo utaratibu umebadilika au ? mbona hatujazingatia jinsia katika kupiga kura kma tulivyodai ?
Yaani mmoja kupiga kura mbili Kwa jinsia moja !

Kwani utaratibu umebadilika ?
Kulikuwepo na haja gani ya kutaka jinsia ambayo hauuhutajj ?

Kumbe;tatizo lilikuwa ni watu Fulani hawatakiwi hata kama wanafaa aau?
Tanzania tuna safari ndefu!

Kwa maoni yangu Taifa letu linahitajia maombi Bado hatujawa watanzania !!!

Naomba kueleweshwa
 
Kwani unawez kutuambia kati yao nani angefaa na nani hafai. Hasa baada ya wao kujinadi
 
Sheria huzijui unakuja kuropoka. Immediate at least 1\3 iwe wanawake maana yake ni hii, wanaweza kuchaguliwa wabunge wanawake wote lakini sio wanaume wote.

Boss Ngokongosha Bibilia ilishasema na kubainisha kabisa, Wanaume siku zote ni "Watawala" na WaMama wao ni "Wasaidizi". Usipotoshe 1/3 ina Maana katika Watu 3 lazima Mwanamke awe mmoja. So hili ilitakiwa iwe 1/2.

My Take: Kwa hili, sijaona Ubaya hawa Wanawake 2 wa Chadema kuchaguliwa. As long wamekidhi Vigezo na Wana Uelewa wa kutuwakilisha.
 
Kwani unawez kutuambia kati yao nani angefaa na nani hafai. Hasa baada ya wao kujinadi
Swala sio kukataa wanawake Bali walisema kila chama kinahutajka kutia jinsia zote mbili wameletewa wamefanya yaleyale !
Kulikuwa na sababu gani ya kuahirisha kipindi kile !
 
usiyempenda kaja.
CCM Kweli tunaisoma namba,matarajio yenu sio na mipango yenu.
 
CHADEMA mnafurahisha kweli.

Kama mlijua kuwa hawa wanawake hawafai, kwa nini mliwapeleka ili kupigiwa kura?

Wagombea muwalete ninyi halafu wakichaguliwa mnaanza kulalamika na kusema kwa nini wamechaguliwa?

Kikubwa zaidi, kelele zenu zinaonyesha jinsi ambavyo mnadharau wanawake pamoja na kwamba wana elimu na uzoefu wa kutosha katika majukumu ya kijamii.
 
Sheria huzijui unakuja kuropoka. Immediate at least 1\3 iwe wanawake maana yake ni hii, wanaweza kuchaguliwa wabunge wanawake wote lakini sio wanaume wote.
Logic IPO wapi kama wanawake wote sawa ila wanaume wote hapana?
 
Nchi hii kuendelea bado sana, yani kwa hayo matokeo tu ya kura unaona kabisa kuna watu walikua wanakomolewa. Masha sio wa kupata kura 40 alaf hao wengine wapate 200. Hata uzoefu wa siasa za kimataifa unahitajika huko nje... Wabunge wa CCM wanafiki sana, kwani mbunge anaenda bunge la EAC kule ni utaifa kwanza hamna UCCM na Uchadema. Lakini watu bado wanafanya vitu kwa maslahi ya chama. Wabunge wa CCM dhambi hizi ipo siku mtazilipa. Hata kma ni 10-100 years to come. Anyways kwa waliochaguliwa hongera yao pia.
 
Kwani hao wagombea wanawake waliletwa na ccm?
 
Boss MsemajiUkweli Jibu Hoja, 1/2 imezingatiwa? Maana hapa 1/3 haiapply Boss. Hayo maelezo mengine hatutaki kuyajua. Kwanini msingechagua, Mwanaume Mmoja na Mwanamke mmoja?

CHADEMA mnafurahisha kweli.

Kama mlijua kuwa hawa wanawake hawafai, kwa nini mliwapeleka ili kupigiwa kura?

Wagombea muwalete ninyi halafu wakichaguliwa mnaanza kulalamika na kusema kwa nini wamechaguliwa?

Kikubwa zaidi, kelele zenu zinaonyesha jinsi ambavyo mnadharau wanawake pamoja na kwamba wana elimu na uzoefu wa kutosha katika majukumu ya kijamii.
 
CHADEMA mnafurahisha kweli.

Kama mlijua kuwa hawa wanawake hawafai, kwa nini mliwapeleka ili kupigiwa kura?

Wagombea muwalete ninyi halafu wakichaguliwa mnaanza kulalamika na kusema kwa nini wamechaguliwa?

Kikubwa zaidi, kelele zenu zinaonyesha jinsi ambavyo mnadharau wanawake pamoja na kwamba wana elimu na uzoefu wa kutosha katika majukumu ya kijamii.
Hao waliochaguliwa ni kutokana na matakwa ya ccm!The least comoetent kwenye kinyang'anyiro ndio hao wamepeta!Its a shame kwa kudhani mnaikomoa CDM kwa kuchagua kiushabiki!Shame
 
Kuendelea kuongozwa na Tundu Lissu katika mambo yanayohitaji busara zaidi ni hatari kwa Afya ya CHADEMA, sasa toka mwanzo walivoshauriwa wapeleke watatu walikua na ugumu gani kupeleka na sasa kuwa na nguvu ya kupeleka wote hao?walikua wana expect nini wakati mwanza hao wawili walishakataliwa???
 
Na hakuna cha nchi ya viwanda wala nini.
Haitakuja tokea.

Tume huru idaiwe mapema Tanzania ccm itoke vinginevyo watanzania watabaki masikini milele.

Ona yanayofanyika.
 
Iv ww bila kuongozwa na mwanamke ungekuwepo hapo ulipo acha mfumo dume usiyona tija kwa taifa
Eeh ndio kazi yake kulea Ndio maana Mungu akagawa majukumu Mwanaume ni kiongozi ndio maana hakuna mtume wa kike kutoka series ya kina Nuhu uko... Na Adam mwenyew... Mwanamke dhaifu hawezi kuhukumu..
 
Back
Top Bottom