Sikushauri utoke mikono mitupu

Kaunara

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2013
Posts
258
Reaction score
540
Habari

Usikubali kutoka mikono mitupu ukisikia mwizi yupo ndani ya nyumba. Hivi sasa wezi wengi wanadamu za watu mikononi hivyo kuua kwao ni sio shida.

Unaweza kuibiwa vile vile ukapata kichapo cha maana. Sijaandika kukuogopesha ila kuwa makini. Ukiamua kutoka kwenda kumkamata mwizi toka upo full jua kuna kufa na kupona ila naamini utashinda sababu mwizi hujawa sana na uoga pale akijulikana ni mwizi.
 
Kama unakaa ushuani unafaa kuaminiwa, ila kama unakaa tandale, buza, buguruni n.k hufai kuaminiwa huenda hata wewe mwenyewe ni kibaka.
 
Reactions: apk

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…