Mshinga
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 3,532
- 1,128
mtu unamtangazia nia,anakusikiliza,mwisho anakukubalia,anakiri kukupenda pia,anakuonyesha upendo,anakujali,anajisikia faraja hata mbele ya rafiki zake anakutambulisha,anakukabidhi kila kitu kwenye mwili wake.
SASA UTATA:inakuwaje msichana leo anakutamkia kuwa HAKUPENDI,she doesn't love you.
Kama ndivyo kwa nini akufanyie mambo yenye kukuonyesha upendo wakati hakupendi?
Hivi wadada huwa mnamaanisha kweli kuwa hamtupendi?kwa nini awali mnasema mnatupenda na baadae mnabadilika?Tuelewe lipi na tuamini lipi?