SIKUPENDIIII : I don't love you.

SIKUPENDIIII : I don't love you.

Nilichokitegeme sicho nilichokikuta sasa kwanini nikomae penye hamna???????
 
hakuna kitu kibaya km makwazo ktk mahusiano, na upendo hupoa yanapotukia mara kwa mara either kwa kuhis unafanyiwa kusudi or unahis umechokwa..
hisia hizo zinapokuganda lazima utatoa hitimisho hilo
 
mtu unamtangazia nia,anakusikiliza,mwisho anakukubalia,anakiri kukupenda pia,anakuonyesha upendo,anakujali,anajisikia faraja hata mbele ya rafiki zake anakutambulisha,anakukabidhi kila kitu kwenye mwili wake. SASA UTATA:inakuwaje msichana leo anakutamkia kuwa HAKUPENDI,she doesn't love you. Kama ndivyo kwa nini akufanyie mambo yenye kukuonyesha upendo wakati hakupendi? Hivi wadada huwa mnamaanisha kweli kuwa hamtupendi?kwa nini awali mnasema mnatupenda na baadae mnabadilika?Tuelewe lipi na tuamini lipi?
True love is shown by deeds not by words.
 
watu skuhizi hawajui maana ya wayasemayo..mtu anasema nakupenda wakati anamaanisha skupendi..mwingne sikupend akimaanisha nakupenda. Tunaowaskiliza maskio yetu na macho yamezba huelewi sangapi kasema nini na anamaanisha nini.
 
Je wale ukimuacha baada ya kukutamukia kuwa hakupendi na kesho anakuja analia umsamehe wao tuwaweke kundi gani?
Mtu akiwa na hasira anaropokwa vitu vya ajabu sana ambavyo anaweza kujutia baadae...Na kama mtu anajijua yupo hivo bora aepuka kusema lolote..THINK BEFORE YOU SPEAK!!!
 
hakuna kitu kibaya km makwazo ktk mahusiano, na upendo hupoa yanapotukia mara kwa mara either kwa kuhis unafanyiwa kusudi or unahis umechokwa..
hisia hizo zinapokuganda lazima utatoa hitimisho hilo

Mfano Kwa nini useme humpendi wakati unampenda na usimwambie sababu za wewe kumuacha?
 
mdau utambue kuwa katika mahaba,ya kileo kuna changamoto sana,uwe makini sana kwenye mahusiano,lakini c vibaya ukawaza na side B uwapo kwenye mahusiano

Side B mwisho ataumia tu,kwa nini ufanye hivyo?
 
Shukuru hata amekwambia ukweli kua hakupendi,kuliko kuwa na mtu unadhani anakupenda kumbe you dont mean anything to her...sasa kubali tu ukweli japo mchungu lakini na dawa
 
Shukuru hata amekwambia ukweli kua hakupendi,kuliko kuwa na mtu unadhani anakupenda kumbe you dont mean anything to her...sasa kubali tu ukweli japo mchungu lakini na dawa

Ngumu kumeza.
 
kupenda kwa mwanamke hadi aigegede papuchi,na mwanamke lazima utoe material,sasa kama ulimuahidi na havioni upendo unabadilika na kua chuki
 
Back
Top Bottom