SIKUPENDIIII : I don't love you.

SIKUPENDIIII : I don't love you.

amini neno la mwisho... kuwa hakupendi.... and life must go on!

Hivi anatujua au anatusikia.......kuna vitu vidogo sana kuweza kumchukia mtu......tena kwa muda mfupi sana......yani nyeupe inabadilika kuwa nyeusi sekunde tu........na tukichukia....huna bahati.......ni sawa na tukipenda.......ila mimi nampenda my mtu chake na TANMO.........
 
Last edited by a moderator:
mtu unamtangazia nia,anakusikiliza,mwisho anakukubalia,anakiri kukupenda pia,anakuonyesha upendo,anakujali,anajisikia faraja hata mbele ya rafiki zake anakutambulisha,anakukabidhi kila kitu kwenye mwili wake.
SASA UTATA:inakuwaje msichana leo anakutamkia kuwa HAKUPENDI,she doesn't love you.
Kama ndivyo kwa nini akufanyie mambo yenye kukuonyesha upendo wakati hakupendi?
Hivi wadada huwa mnamaanisha kweli kuwa hamtupendi?kwa nini awali mnasema mnatupenda na baadae mnabadilika?Tuelewe lipi na tuamini lipi?

kwa wale wenzang na mm waliozaliwa,kulelewa na kukulia na kuish maisha ya kijeshi huwa wanaamin kuwa amri na taratibu ikiwa n pamoja na sheria huwa znabadlika mara kwa mara bila kutegemea mda na mazngira. Uliambiwa mguu pande gafla utaambiwa mguu sawa tena hapohapo utaambiwa kulia geuka. Hvyo kama mwanaume lazma uwe dynamic na ukubaliane na hali inayojitokeza. Kwaupande wang sishangai hyo hali.......akikwambia hakupend achana nae kamata mwngne..... Ila kwa christina nahsi nmepgwa ngwara sina jeur kabisaaaa nimenaswa
 
Ah mapenz ya cku hizi yana season ndugu! Nahc c kila akwambiae ana kupenda ana maanisha! Ku kupa fursa ya kutumia mwili wake haku maanish upo kwmy moyo wake!.

Paka nyau!
 
Kama alifikia hatua ya kukutambulisha mpaka kwa rafiki zake huyo alikuwa anakupenda, wewe ndo umemnywesha sumu ya mapenzi/chuki, anakupenda halafu wewe hata hauleweki, humthamini, humjali, unamdharau, yaani ali invest upendo kwako lakini analipwa maumivu ya moyo kwanini asikuchukie. Pendo huja pale mtu apendwapo na hutokomea pinde tu uyeyushwapo, na likiisha kamwe halirudi tena by Lady Jay Dee.
 
Makwazo yakizid upendo hupoa... utakosa ntakwambia yataisha.. utarudia ntakukumbusha tutasameheana... tena yale yale khaaaa..!! si ujinga huo kuliko nikusubiri utoe POLE moja na SAMAHANI mbili bora nikuchane tuu "i hate you":closed_2:
 
Mtu akiwa na hasira anaropokwa vitu vya ajabu sana ambavyo anaweza kujutia baadae...Na kama mtu anajijua yupo hivo bora aepuka kusema lolote..THINK BEFORE YOU SPEAK!!!

If i could see you ONLY ONCE! teh.
 
Kama alifikia hatua ya kukutambulisha mpaka kwa rafiki zake huyo alikuwa anakupenda, wewe ndo umemnywesha sumu ya mapenzi/chuki, anakupenda halafu wewe hata hauleweki, humthamini, humjali, unamdharau, yaani ali invest upendo kwako lakini analipwa maumivu ya moyo kwanini asikuchukie. Pendo huja pale mtu apendwapo na hutokomea pinde tu uyeyushwapo, na likiisha kamwe halirudi tena by Lady Jay Dee.

Noted.
 
Hivi anatujua au anatusikia.......kuna vitu vidogo sana kuweza kumchukia mtu......tena kwa muda mfupi sana......yani nyeupe inabadilika kuwa nyeusi sekunde tu........na tukichukia....huna bahati.......ni sawa na tukipenda.......ila mimi nampenda my mtu chake na TANMO.........
.....Thanx mamiii kwa kunipenda..ila hapo kwa TANMO..unataka kuleta uume wenza..kitu ambacho si haki
 
Last edited by a moderator:
mtu unamtangazia nia,anakusikiliza,mwisho anakukubalia,anakiri kukupenda pia,anakuonyesha upendo,anakujali,anajisikia faraja hata mbele ya rafiki zake anakutambulisha,anakukabidhi kila kitu kwenye mwili wake.
SASA UTATA:inakuwaje msichana leo anakutamkia kuwa HAKUPENDI,she doesn't love you.
Kama ndivyo kwa nini akufanyie mambo yenye kukuonyesha upendo wakati hakupendi?
Hivi wadada huwa mnamaanisha kweli kuwa hamtupendi?kwa nini awali mnasema mnatupenda na baadae mnabadilika?Tuelewe lipi na tuamini lipi?

tatizo lenu wanaume mkipendwa duh mwanamke atajuta, utamfanyia kila baya unalojua basi hiyo itoshe nadharau chungu nzima me nilishawahi mpenda mwanaume alichonifanya niliapa sitampenda mwanaume na ka ikitokea tamthilia nyingi mguu mmoja ndani mwingine nje.

though wengine unakuta anachokigemea kutoka kwako ajakipata,
 
Je wale ukimuacha baada ya kukutamukia kuwa hakupendi na kesho anakuja analia umsamehe wao tuwaweke kundi gani?

inategemea, labda mligombana kiasi kwamba ikampelekea kutamka hayo maneno kwa hasira na baada ya hasira kuisha ndipo anajikuta kuwa hakutoa maamuzi yaliyo sahihi na kuanza kujirudi kwa kuomba msamaha!!!!!!!
 
mtu unamtangazia nia,anakusikiliza,mwisho anakukubalia,anakiri kukupenda pia,anakuonyesha upendo,anakujali,anajisikia faraja hata mbele ya rafiki zake anakutambulisha,anakukabidhi kila kitu kwenye mwili wake.
SASA UTATA:inakuwaje msichana leo anakutamkia kuwa HAKUPENDI,she doesn't love you.
Kama ndivyo kwa nini akufanyie mambo yenye kukuonyesha upendo wakati hakupendi?
Hivi wadada huwa mnamaanisha kweli kuwa hamtupendi?kwa nini awali mnasema mnatupenda na baadae mnabadilika?Tuelewe lipi na tuamini lipi?

Mshinga, saa nyingine hawa watu hupenda kile wasichokipenda!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom