Sikukuu za Krismasi za zamani ni tofauti na za sasa hivi

Krisimasi ya zamani baada ya kula pilau na soda, mnapewa sh 50 au 100 ya kwenda kutembelea, kwa waliokulia Tabora wanapakumbuka Maua baa ndio tulikuwa tunaenda kuangalia video huko.......sio sasa hivi tunawapeleka kwenye ma beach kuogelea

Krisimasi ya zamani ilikuwa mnahamia kwa rafiki yake na baba na mkiwa huko habagui, wote tulikuwa tunanunuliwa nguo mpya, viatu vipya na ile miwani yenye fremu za njano........lakini sio sasa, huyohuyo rafiki yake baba anaweza kumbaka mtoto wa rafiki yake.

giphy.gif
 
Shangazi yangu alikuwa mnoko nuyo tena ukichanganya na usabato ndo maweeee! mie x mass bana kwa mdingi na maza ndo raha isiyo kifani lkn huko kwingine ilikuw inapita hivi pyuuuuu! hata nilikuwag siijui...mie nimekuja furahia wkt niko chuo!! x mass mnachinjiwa mbuzi weeengi!...pilau yaani hata nilikuwa sitamani kwenda nyumbani!! bora likizo nikapange mjini tu!
 
Back
Top Bottom