Sikukuu ya wana-jf


vigezo vya kumpata mshindi?
 
wazo zuri mkuu, i think is not bad kuwa na some thing like that
 
hapo lazima msekwa atume watu wake na mkulu naye lazima atume wale vijana wake wa pale Makumbusho na St Peters ,shauri yenu
 
unadhani wakitaka kukukamata wanashindwa?

Hapa issue siyo kukamatwa. Watukamate tumefanya kosa gani? mimi ninachohofu ni uwezekano wa siku hiyo kukutana na bosi wangu na mdogo wangu wa kike ambaye anapenda sana kuisifia sana jf nadhani ni member humu ila sijui anatumia jina gani. Ni mwana ccm sana na huenda huwa ananiponda kwenye baadhi ya mada zangu za kutetea walala hoi, imagine siku nikijua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…