kwanza KARIBU JFNapenda kutoa ushauri kwa wanaJF kuwa, ni vyema tukawa na sikukuu yetu ambayo pamoja na mambo mengine itatoa tathmini kuhusu michango mbalimbali inayotolewa na mbember wa JF. Pawepo pia na mshindi ambaye atakuwa amechangia kuliko wachangiaji wengine wote. Hili ni wazo langu. Wenzangu nanyi mwasemaje??????
Ni wazo zuri lisilo weza kutekelezeka......Napenda kutoa ushauri kwa wanaJF kuwa, ni vyema tukawa na sikukuu yetu ambayo pamoja na mambo mengine itatoa tathmini kuhusu michango mbalimbali inayotolewa na mbember wa JF. Pawepo pia na mshindi ambaye atakuwa amechangia kuliko wachangiaji wengine wote. Hili ni wazo langu. Wenzangu nanyi mwasemaje??????
Naogopa kukamatwa na intelejensia. Usije kuwa mwana kujivua gamba.
unadhani wakitaka kukukamata wanashindwa?
we sema aanzihse forums ya siku ya jf na sio kukutana maana watasema tunampango wa kupundua nchi kwani ukisoma post zingine zinakuonesha kabisa kuna watu wametumwa..
issue siyo kukutana. Kubwa ni kumpata mshindi wa JF. Sisemi kupambanisha kama Bongo star.