Sikukuu ya wachawi, Waganga na washirikina Bariadi (Mbina)

Wasukuma sisi tuna Kila kitu. Watu zaidi ya 10m, elimu kila chuo 10% ni ngosha, bungeni Kila mbunge machachari ni mmsukuma, unamjua Lt gen mayunga wewe fara?

Kuroga, tunaroga pia na ukizingua unarogwa kweli.

Kupelekeana moto tuko vzr na dada zetu watam sana.

Nyie endeleen na kutudharau wakati tunazidi kukaba Kila Kona Kwa spidi ya mwanga.

Kanisa letu AIC T

Wasanii wetu Elizabeth maliganya,, gudegude, nyanda madirisha, budagala na machachari the greatest singer in sukuma tribe kisima majabala wa nzuki jimulumagule.

Dv one kali zinatoka usukumani.

Bhanyaneng'
Division one ziwasaidia nn ktk maisha ya kawaida maana hakuna mtu mweusi mwenye ubunifu wasukuma wanakula ugali toka anazaliwa mpk anakufa sasa mtu ambae anakula ugali chakula cha ng'ombe atakuwaje na division one labda division one ya ujinga
 
Wasukuma sisi tuna Kila kitu. Watu zaidi ya 10m, elimu kila chuo 10% ni ngosha, bungeni Kila mbunge machachari ni mmsukuma, unamjua Lt gen mayunga wewe fara?

Kuroga, tunaroga pia na ukizingua unarogwa kweli.

Kupelekeana moto tuko vzr na dada zetu watam sana.

Nyie endeleen na kutudharau wakati tunazidi kukaba Kila Kona Kwa spidi ya mwanga.

Kanisa letu AIC T

Wasanii wetu Elizabeth maliganya,, gudegude, nyanda madirisha, budagala na machachari the greatest singer in sukuma tribe kisima majabala wa nzuki jimulumagule.

Dv one kali zinatoka usukumani.

Bhanyaneng'
Huyu Budagara ni mkali sana kwenye nyimbo za asili Nimeanza kusikia stori zake toka nikiwa Mpanda,

Nikawa kule Usinge mpaka Ziwa Ugalla nako wanamwelezea na kumsifia

Achana Urambo na Kaliua
Sasa nimeingia Ntuzu na kuona magoma yake.

Achana na Jenerali Mayunga
Ila pia Brigedia Jenerali Balele unamfahamu?
Okay Kuna huyu wa juzi juzi Jenerali Mabeyo.

Okay, siwadharau ila nimeipenda jinsi mnavyoheshimu mila zenu na kuenzi tamaduni zenu.

Usimtukane mtu usio mjua Mimi sio fara
 
Wasukuma wanaabudu nanenane na mwaka mpya,ni bonge la sikukuu
Hii nayo nimeambiwa ningekuja kipindi Cha nane nane ila nimemwahidi nitarudi tena.

Si wanafanyia kule Nyakabindi njia kama ninaenda mpaka Bunda na Majita
 
Nchi hii watu tunaamini sana mambo ya kuambiwa ndio habari za uongo juu ya makabila fulani zimejaa na kuaminiwa sana lakini ukibahatika kufika katika eneo husika unakuta mambo tofauti kabisa.

Uchawi unaodaiwa kuwepo na mtoa mada ni habari za uongo ila mambo ngoma ama sherehe za mavuno, sabasaba, 88, mwaka mpya ni kweli ni sherehe kubwa sana ukanda huu nimeona toka niwepo hapa Somanda toka mwaka jana.
 
Una ndugu Bariadi au Kanda ya Ziwa?
Piga simu sasa uliza
Okay huku hufanya mashindano ya Uchawi kuna dhima moja.

Nayo ni kumpata mkali wa hayo ambaye ndani ya mwaka mzima atatumika kuweka Kinga na Kutoa ndagu kwa biashara pamoja na watu.

Kifupi hii kwao ni kama advertisement kwa jamii.
 
Ukristo umepata tabu sana kupenya usukumani,huko wanashika dini pamojaa na tunguri
Hawa jamaa naona ni wakristo jina tu
Embu jiulize na huu weupe wao halafu Wanakuwa na chale mwili nzima na kwao kawaida.

Yaani unaziona kwa macho ya nyama halafu ni mabinti wadogo.
 
Wasukuma wanaabudu nanenane na mwaka mpya,ni bonge la sikukuu
Nadhani hii sherehe maalumu zaidi maana viwanja vya almashauri ndio inakofanyikia na imefana mno.

Bariadi imechangamka mno.

Tukirudi kwenye nane nane basi karibu kutembelea Nyanda za juu kusini ndio utajua nane nane ipo Usukumani au Unyakyusani na Uheheni.

Mwaka mpya nao ni vile vile nenda Mbeya utapata majibu

Ila Mbina ni sherehe pekee official inayohusu Ushirikina, Uganga na Uchawi kufanyika hadharani.

Huku migoma ya kisukuma ikiunguruma
 
Umenikumbusha mbali sana hapo ni mwendo wa kuhama tu.Upande huu wakitoa chatu watu haooo kule wanajibu kwa kutoa fisi watu haoo tena.Mwenye watu wengi ndio bingwa.Kama mwepesi kweli usiende utakata umeme.Kukuletea habari.
Majija Iduka lya namba.
 
Na mashindano ya mbio za baiskeli. Ila usukumani wanazitendea sana haki baiskeli (Boda boda).
Dala dala zinaitwa, mara ya kwanza kufika pale ilogi njia iendayo kakola kwenye machimbo ya madini ya accasia. Mwenyeji wangu aliniambia panda dala dala. Nikawa nasimamisha hiace iliyokuwa inapita karibu. Nikiwa nakaribia kupanda akaniambia baiskeli. Nilibaki mdomo wazi siku hyo
 
Nadhani hii sherehe maalumu zaidi maana viwanja vya almashauri ndio inakofanyikia na imefana mno.

Bariadi imechangamka mno.

Tukirudi kwenye nane nane basi karibu kutembelea Nyanda za juu kusini ndio utajua nane nane ipo Usukumani au Unyakyusani na Uheheni.

Mwaka mpya nao ni vile vile nenda Mbeya utapata majibu

Ila Mbina ni sherehe pekee official inayohusu Ushirikina, Uganga na Uchawi kufanyika hadharani.

Huku migoma ya kisukuma ikiunguruma
Mimi ngosha babu,mbina maana yake ngoma..ngoma zetu bila uchawi haziendi,uwe mgika,mzubha au maswezi...yaani Hadi genge la ndono sharti mjue kuloga
 
Back
Top Bottom