sikukuu ya moulid ni lini? j2 au j3?

sikukuu ya moulid ni lini? j2 au j3?

MKATA KIU

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
3,481
Reaction score
8,583
Wadau tusaidiane kuhabarishana ili tujue wekend inaendelea au kesho kwa wakoloni kama kawa? Wenye uelewa wa hii siku kuu watusaidie
 
Si wamesoma jana usiku kwahiyo sikukuu ni leo. Kesho kazi kama kawaida. Ila tusubiri wanaohusika zaidi watujuze ninavyojua mimi ni hivyo.
 
kwani nyie mnaishi wapi kusikokuwa na mawasiliano? Malinyi?
 
Si wamesoma jana usiku kwahiyo sikukuu ni leo. Kesho kazi kama kawaida. Ila tusubiri wanaohusika zaidi watujuze ninavyojua mimi ni hivyo.

kwani hawa wa wapi hawa?? Kwanza achana nao...
 
wacha uvivu nenda kazini au ndio viroba vinafanya kazi ?
 
Si wamesoma jana usiku kwahiyo sikukuu ni leo. Kesho kazi kama kawaida. Ila tusubiri wanaohusika zaidi watujuze ninavyojua mimi ni hivyo.

Hata mimi naelewa hivyo kuwa sikukuu ni leo.
 
Back
Top Bottom