Tunawaogopa HAMAS mkuu ndio maana sikukuu imepoa.Ukiambiwa leo kuna sikukuu utakataa!!
Kumepooza kama futari ya magimbi ya juzi
Yaani hamna vibe wala nini
Hamna cha kuchoma nyama wala nini
Siku imekaakaa tu haieleweki
Wapi huko? Guest vipi - nazo zimepooza?Ukiambiwa leo kuna sikukuu utakataa!!
Kumepooza kama futari ya magimbi ya juzi
Yaani hamna vibe wala nini
Hamna cha kuchoma nyama wala nini
Siku imekaakaa tu haieleweki
Huo ndio ukweliTatizo Pesa Hakuna
Wewe mpumbavu ulikuwa una umri gani wakati huo?Watanzania wana hali mbaya ya uchumi kuliko wakati wowote ule, afadhali hata wakati wa vita vya Idd Amin
Siku -kuu inaweza kuwa siku yeyote ukiwa na Furaha....Sikukuu ni kitu gan!? Tuanzie hapo...
Hali mbaya unayo ww...jisemee mwenyeweWatanzania wana hali mbaya ya uchumi kuliko wakati wowote ule, afadhali hata wakati wa vita vya Idd Amin
angalia hiiWewe mpumbavu ulikuwa una umri gani wakati huo?
Maduka yalikuwa hayana bidhaa.Watu walikuwa wanatumia pipi nyeupe na sukari guru kupikia chai.Vibali vya sukari vilikuwa vinatolewa kwa RDD wakati huo.Ukipatikana na sabuni ya Imperial au dawa ya kupigia mswaki ya Colgate kutoka Kenya unafunguliwa kesi ya uhujumu uchumi.
Watanzania walikuwa hawana hata nguo za maana za kuvaa.Ukivaa jeans unatumbuliwa macho umeipata wapi?
Kulinganisha hali ile na sasa ni uendawazimu wa kipimo cha juu.