Legrema2050
JF-Expert Member
- Jun 5, 2021
- 606
- 717
Ila usiku wanafurika kitambaa cheupe, kula bataWatanzania wana hali mbaya ya uchumi kuliko wakati wowote ule, afadhali hata wakati wa vita vya Idd Amin
Ila usiku wanafurika kitambaa cheupe, kula bataWatanzania wana hali mbaya ya uchumi kuliko wakati wowote ule, afadhali hata wakati wa vita vya Idd Amin
Vazi la Leo halijampendeza Mtu pale Msasani.Ukiambiwa leo kuna sikukuu utakataa!!
Kumepooza kama futari ya magimbi ya juzi
Yaani hamna vibe wala nini
Hamna cha kuchoma nyama wala nini
Siku imekaakaa tu haieleweki
Kwanini ule futari ya magimbi ya Juzi sasa mkuu?!Kumepooza kama futari ya magimbi ya juzi
Unaona aibu kusema afadhali hata wakati jpm hahaaWatanzania wana hali mbaya ya uchumi kuliko wakati wowote ule, afadhali hata wakati wa vita vya Idd Amin
Kweli mkuu wananchi wana maisha magumu sana nipo Nchini Zanzibar tena uku uswahilini, Wananchi hawana furaha huoni wakipika kama miaka ya Nyuma.Tatizo Pesa Hakuna