Sikukuu ya Idd 2014 ni lini?


Please Google
 

Attachments

  • 1406492722849.jpg
    18.4 KB · Views: 179

Tumeambiwa tufunge tunapouona mwezi au tukamilishe 30. Na si zaidi ya hapo mkuu

Halkadhalika kwenye kufungua pia
 
Problem sio upuuzi unaoandika ila ni kutoifahamu dini ya kiislam na dini yako mwenyewe. Na hiyo ndo tatizo kubwa la watanzania; wengi hatuna elimu ya dini wala ya dunia. Ikija debate ya mada yoyote inatawaliwa na pumba za ujinga. Amken Na mjue upuuzi wa kutukanana kidini haitoishia katika JF, kuna siku tutajikuta yanayowapata nchi kama CAR na Nigeria. Tumieni JF kwa manufaa ya kujifunza, kuleta umoja Na Amani kuliko kuigeuza mahala pa kuleta chuki zisizo na maana.
 
hivi hawa bakwata hizi link hawazijuw au? au wako kama bendera.......hii ni dini ya allah haiongozwi kwa mawazo ya watu ....
 
Hii sikukuu imekaa ki siasa sana! ki uhalisia leo ndiyo sikukuu maana kenya , uganda burundi wameswali leo....Bakwata walikuwa tayali wamepanga iwe jumanne kwa shinikizo tu.
 
Hasa yule mufti ndo majanga, yaani anakubali kushikiwa akili na kuacha maandiko na misingi ya dini.

Kwani maandiko ya dini yanasemaje...!?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…