Sikukuu ya Idd 2014 ni lini?

We kama so mwislamu inakuhusu nn? unafikir sikukuu za kiislam ndo km zile za kwenu za kukaa vikaon mkapanga kama harusi?

Ndizi zangu zitaharibika daaah...maana kesho nilishapanga ni kanzu na ndizi zangu mfukoni natembelea wafuturishaji wenzangu
 
Last edited by a moderator:
Je Bakwata wana tovuti au hata blog Kama ile ya ikulu?
 
Kwani mie niliandika tofauti? Nilichokiandika ni baada ya kufahamu kwamba mwezi umeonekana na sasa hivi kuna technology ya kutosha duniani yenye kutoa accuracy ya 100% kuweza kutengeneza calendar na kuachana na mfumo wa mwaka 47.

BAK, kwani mie nimesema duniani kuna miezi mitatu? Nimesema sikukuu kubwa za Kiislam zinaongozwa kwa kuandama kwa mwezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…