Sikukuu na mahusiano

Sikukuu na mahusiano

😀 😀 mambo mazuri hayaitaji haraka, nipo hapa nabonyeza bonyeza kinanda huku mziki laini ukiburudisha, na glass ya mvinyo kwa pembeni; maisha ya mahusiano yana raha sana.
Unapata wapi muda wa kushika simu huku ukiwa unabonyeza hicho Kinanda au nikibovu..?
 
Nina read btn the lines.
Haupo Kwa mchepuko na wala huna...infacts wewe ni baba Bora na unawapenda wanao
Nipo naye hapa ananipa raha 😀 😀 only for fun;
Ni kweli, ''family first'', wakishiba na kusaza, ndio huwa napata ujasiri wa kutoka nje.​
 
Leo nimekubali kudraw mechi ngoma bila bila! Nilale siku nzima Sina mzuka wa kuzini leo
Utakulaje sikukuu mwenyewe, umekuwa mchawi; toka hapo ulipo, nenda kiwanja agiza ile chupa kubwa ukandamize huku ukitafakari mambo mengine ya kidunia.
 
Utakulaje sikukuu mwenyewe, umekuwa mchawi; toka hapo ulipo, nenda kiwanja agiza ile chupa kubwa ukandamize huku ukitafakari mambo mengine ya kidunia.
Kuna kiumbe nakivutia pumzi sitaki kuanza kuhangaika Leo jmos usiku kuna kuna hela inaenda kupotea, naenda kutafuta UTI kwa hiyar yangu, naenda kusanya balaa mikosi na laana kwa hiyari yangu
 
Kuna kiumbe nakivutia pumzi sitaki kuanza kuhangaika Leo jmos usiku kuna kuna hela inaenda kupotea, naenda kutafuta UTI kwa hiyar yangu, naenda kusanya balaa mikosi na laana kwa hiyari yangu
😀😀
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom