sikuku ya idd mubarak katika picha

KACHINJA

JF-Expert Member
Dec 26, 2015
1,263
868
Angalau kwa picha tujulishan e kwenu hii sikuku ya idd mubarak ulisheherekea vip
 

Attachments

  • WP_20160528_004.jpg
    WP_20160528_004.jpg
    83.1 KB · Views: 65
Mkuu hii Eid imedoda....

Eid zingine saa hizi watu wanakuwa wameshakula Noah za kutosha....

Leo mambo yako tofauti kabisaaa......

Kind of magulifications...watu wako vibaya hahahaaa
 
Back
Top Bottom