Sukuma gang mnahangaika.Ndg wanajamii forum
Dola ina nguvu zaidi ya kifaru na mizinga naongea haya kwa sababu ifuatayo
1.dola imeweza kunyamazisha habari ya vyombo kwa sasa wanatoa taarifa na wala sio habari
2.imeweza kunyamazisha wana wa sihasa wa danganyika kwa sasa hatusikii malalamiko ya hadhara ya mikutano zaidi ya pambio ama kweli Dola inanguvu
3.viongozi wa kondoo kimyaaa
4.tume ya binadamu na haki haileweki dola imefanya kila kitu kionekane sawa
WADANGANYIKA hawajui nini kinaendelea zaidi ya matumaini
Ama kweli Dola imeingia hadi mjengoni hoja kwa sasa sio deal ila ni uhasi kwa malikia na kundi lake huko kuzimu
Ni zamu yenu sasa kulalamika. Sisi wapinzani tulishapoa.Yatapita
Mmepewa tamu na mama 😂Ni zamu yenu sasa kulalamika. Sisi wapinzani tulishapoa.
Ni zamu yenu sasa. Mnaanza kulilia dola?Mmepewa tamu na mama 😂
Hivi lipi bora, kuwepo na watu wasiojulikana na Raia kupotea, huku viroba vyao vikiokotwa mitaani na watawala wetu kutuamonisha kuwa hivyo viroba ni vya wakimbizi?Ndg wanajamii forum
Dola ina nguvu zaidi ya kifaru na mizinga naongea haya kwa sababu ifuatayo
1.dola imeweza kunyamazisha habari ya vyombo kwa sasa wanatoa taarifa na wala sio habari
2.imeweza kunyamazisha wana wa sihasa wa danganyika kwa sasa hatusikii malalamiko ya hadhara ya mikutano zaidi ya pambio ama kweli Dola inanguvu
3.viongozi wa kondoo kimyaaa
4.tume ya binadamu na haki haileweki dola imefanya kila kitu kionekane sawa
WADANGANYIKA hawajui nini kinaendelea zaidi ya matumaini
Ama kweli Dola imeingia hadi mjengoni hoja kwa sasa sio deal ila ni uhasi kwa malikia na kundi lake huko kuzimu
Mbona Sijalia mimiNi zamu yenu sasa. Mnaanza kulilia dola?
Kuna mambo unachanganya aidha kwa makusudi,kuifurahisha nafsi yako au ni kwa kutojua.Dola yaweza kuwepo na ipo hasa.Kiñachotumika ni akili pana,kutoka ndani ya maboksi,kuipenda amani,maelewano na maridhiano,hekima na kuongozwa na roho safi.Tofautisha mambo.Ndg wanajamii forum
Dola ina nguvu zaidi ya kifaru na mizinga naongea haya kwa sababu ifuatayo
1.dola imeweza kunyamazisha habari ya vyombo kwa sasa wanatoa taarifa na wala sio habari
2.imeweza kunyamazisha wana wa sihasa wa danganyika kwa sasa hatusikii malalamiko ya hadhara ya mikutano zaidi ya pambio ama kweli Dola inanguvu
3.viongozi wa kondoo kimyaaa
4.tume ya binadamu na haki haileweki dola imefanya kila kitu kionekane sawa
WADANGANYIKA hawajui nini kinaendelea zaidi ya matumaini
Ama kweli Dola imeingia hadi mjengoni hoja kwa sasa sio deal ila ni uhasi kwa malikia na kundi lake huko kuzimu
Ni sawa kupokezana lakini mbona sauti uitoayo ina mikwaruzo na uso hauna nuru?Mbona Sijalia mimi
Ila kuimba kupokezana
Una hakika na usemayo?Ni sawa kupokezana lakini mbona sauti uitoayo ina mikwaruzo na uso hauna nuru?
Si kusema tu,hata nilichokiandika.Una hakika na usemayo?
Huh Pole. Your lostSi kusema tu,hata nilichokiandika.
Mitazamo tu.Weye baki na ya kwako.Haina mbaya.Huh Pole. Your lost
sasa kama watu hawatekwi au kuporwa mali zao unataka waongee niniNdg wanaJamiiForums
Dola ina nguvu zaidi ya kifaru na mizinga naongea haya kwa sababu ifuatayo
1. Dola imeweza kunyamazisha habari ya vyombo kwa sasa wanatoa taarifa na wala sio habari
2. Imeweza kunyamazisha wana wa sihasa wa danganyika kwa sasa hatusikii malalamiko ya hadhara ya mikutano zaidi ya pambio ama kweli Dola inanguvu
3. Viongozi wa kondoo kimyaaa
4. Tume ya binadamu na haki haileweki dola imefanya kila kitu kionekane sawa