Sikujua kama kuna minimum wage ya elfu 70!

SilvaG

Member
Jul 23, 2011
9
0
Fikiri mtu anafanya kazi mashamba ya maua(mengi yapo karibu na mijini) analipwa gross 77,000, net <=68,000
Kodi ya nyumba 20,000 - 25,000/mwezi.
Mafuta ya taa lita 2,200 x?
Sukari kilo 2,800 x?
Mchele kilo 1,800 x ?
Unga kilo 700 x ?
Nyama kilo 5,000 x?(starehe!)
Mafuta ya kupika lita x?
Matibabu?
Shule?
etc x ?

77,000-(matumizi hapo juu)= ?????(tafakari!)
 
je nahili la msichana wa kazi za ndani kulipwa tsh 30.000/ - ,thelathini elfu tu mnalizungumziaje wadau wa jf.
 
je nahili la msichana wa kazi za ndani kulipwa tsh 30.000/ - ,thelathini elfu tu mnalizungumziaje wadau wa jf.
Huyu afadhali maana halipi umeme,nyumba,maji,nk yeye kila kitu tayari.Lakini wa 77,000 tena ARUSHA mmmm wallah tufanye mabadiliko jamani tuwang'oe hawa MAGAMBA
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom