ni kwa neema tu na rehema tuuuuuu(gospel song)mwimbaji simjui kwa jinaJaman japo cjui mtu na wala ckutoa centi lakini thank God mtoto wa mkulima nimeitwa UHAMIAJI
ni kwa neema tu na rehema tuuuuuu(gospel song)mwimbaji simjui kwa jina
Hongera kama kweli,ila kama ndo mmetumwa kupima upepo mlaaniwe na uzao wenu
Inavyooneka kijana hujiamini kabisa,mbona wenzio tulipata TRA katika nafasi ya Custom Officer bila kuhonga wala vimemo?