Sikufuata Ulichotaka We, Sikupenda Tugombane We!

Sikufuata Ulichotaka We, Sikupenda Tugombane We!

Nashukuru tumeumbwa na uwezo wa kusahau. Hivyo naamini uamuzi huu utabadilika.
 
Mbona ka wimbo hvii....
Ka si wimbo basi una kipaji cha kutunga bongofleva
 
Sio wakike tu na wakiume nao wameishiwa ubinadam. Akijua unampenda basi atanyanyasa tu mtima wako. Hebu kuweni na huruma basi jamani! Khaa!




Hujampata Anaeyajua Mahaaba! Njoo Pm, Kama Ulitendwa Utasahau Maumivu
 
usidanganye watu,yaani maumivu ya mapenzi ni zaidi ya kaa la moto kwenye kidonda? unalijua vizuri kaa la moto wewe?
 
kwa hiyo utakuwa unajipa raha mwenyewe au unaenda kimboka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom