Sikubali majibu ya DNA

Sikubali majibu ya DNA

sabudi

Member
Joined
Aug 22, 2014
Posts
66
Reaction score
92
Kwa kifupi kuna mwanamke ameniulizia kama hajaridhika na matokeo ya kipimo cha DNA kinachofanyika pale Ocean Road, je kuna njia yoyote ya msaada zaidi ya kurudi palepale,,,amefanya kipimo kwa takribani mara tatu sehemu hiyohiyo lakini haridhiki na matokeo anayopewa sasa anachotaka ni msaada wa kisheria au wa kijamii ni vipi anaweza kusaidiwa kwasababu yeye anaamini mtoto aliepimwa ni wa mume wake lakini kipimo kinakataa.

La pili, je kipimo kikionyesha kutoa majibu yasiyo sahihi unaweza kudai fidia kwa wao kuja kukulipa..mfano kipimo kikisema Fulani ni mtoto wako halafu baada ya miaka kumi mkapima tena na mwanaume mwingine (kukitokea mazingira ya mtu mwingine kudai yule ni mtoto wake) ikaonekana mtoto sio wako ni wa yule mwanaume mwingine,,,je mazingira hayo unaweza kudai fidia kwasababu tangu majibu ya kwanza yaliposema mtoto ni wako ulianza kutumia gharama za kumlea..
 
akapime nje ya nchi tu..
Tanzania full rushwa na kubahatisha..mwambie aende South Africa
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Jamani na mie nifahamisheni kama na mwanamke au mama wa mtoto nae anapimwa kwa pamoja na baba au ni paternity tu.
Kuna uwezekano wa mtoto kuwa amabadilishwa hospitali kwa makosa sana sana siku za nyuma hospitali za serikali zilikua na vurugu sana.

pili ikifahamika mtoto si wenu nyote inakuwaje sasa...??? mama duh.
 
hata sheria zetu hazipo clear na hayo
 
Afanye magendo tu apime kwingine..hapa bongo kila kitu kinawezekana..pale National health lab unaweza kupeleka sample watakufanyia wana sequencer.

Kumbuka usiwe na jibu lako kiasi kwamba ukijibiwa unadai hujaridhika.

Huwezi kufanya lolote kama utapima sehemu wakwambie majibu tofauti.

Kupatikana kwa majibu tofauti za kimaabara ni jambo la kawaida.

Ndo maana kuna ngazi tofauti za huduma kulingana na expertise na teknolojia.
 
Kuna mtu aliniambia Amana huwa wanaweza kukubadilishia mtoto,labda inawezekana mtoto sio wao kama alijifungulia hosp za dizain ya Amana.

Au akajaribu hata Nje ya Nchi au hata kama kuna Taasisi nyingine hapa Bongo akacheki pia ndio ajue hatua gani achukue...
 
Labda qlibadilishiwa mtoto hospital au alikalia sperms bila kujua chooni.

Hii ni nightmare.
 
Kwa kifupi kuna mwanamke ameniulizia kama hajaridhika na matokeo ya kipimo cha DNA kinachofanyika pale Ocean Road, je kuna njia yoyote ya msaada zaidi ya kurudi palepale,,,amefanya kipimo kwa takribani mara tatu sehemu hiyohiyo lakini haridhiki na matokeo anayopewa sasa anachotaka ni msaada wa kisheria au wa kijamii ni vipi anaweza kusaidiwa kwasababu yeye anaamini mtoto aliepimwa ni wa mume wake lakini kipimo kinakataa.

La pili, je kipimo kikionyesha kutoa majibu yasiyo sahihi unaweza kudai fidia kwa wao kuja kukulipa..mfano kipimo kikisema Fulani ni mtoto wako halafu baada ya miaka kumi mkapima tena na mwanaume mwingine (kukitokea mazingira ya mtu mwingine kudai yule ni mtoto wake) ikaonekana mtoto sio wako ni wa yule mwanaume mwingine,,,je mazingira hayo unaweza kudai fidia kwasababu tangu majibu ya kwanza yaliposema mtoto ni wako ulianza kutumia gharama za kumlea..

Kipimo mara zote hizo lakini kapa. Hapo kuna kitu pamoja na ujanja ujanja wa Bongo. Lazima yapatikane maelezo mengine kama mtoto kubadilisha hospital na vitu kama hivyo. Je ya mama inakubali? Kama ndio asiwe na uhakika sana pengine alichepuka na jamaa aliyetumia condom inampa imani. Condom sio safe 100%
 
kwa tanzania sidhani kama kuna zaidi ya ocean road labda avuke border
 
Kwanini walienda kupima in the first place?
Kama ndoa haina uaminifu, wanaweza wamalize hospitali.
 
DNA c msanii jamani!!!
Nadhani hapo pia Kuna ka usanii kamefanyika, bongo kila aina ya wizi unawezekana...
 
Kuna uwezekano wa mtoto kuwa amabadilishwa hospitali kwa makosa sana sana siku za nyuma hospitali za serikali zilikua na vurugu sana.Siku za nyuma kulikuwa na tabia katika hospitali hasa za serikali ambapo mama anaenda kujifungua anazungumza na wauguzi kuwa anataka mtoto wa kiume au wa kike hivyo akijifungua mtoto wa jinsia tofauti wanambadilishia na kumpa mtoto wa jinsia ile anayotaka kwa malipo. Hivyo kama huyo mama ana hakika hakutoka nje ya ndoa yake basi huyo mtoto inawezekana alibadilishiwa akapewa mtoto asiye wake alipojifungua.
 
aisee labda alienda kuogelea beach na kuna watu huwa wana malizaga kwenye maji na kuacha zinaelea huenda katika kuogelea alizivamia nazo zikakimbilia kunako!!!
 
Kwanini walienda kupima in the first place?
Kama ndoa haina uaminifu, wanaweza wamalize hospitali.

Ni heri kumaliza Hospitali bila hivyo hakuna haja ya hiyo Ndoa kama unalea kiumbe kisicho kuhusu tena bila ridhaa yako toka moyoni.

Family Tree DNA - Understanding DNA

Understanding DNA
DNA is the carrier of our genetic information, and is passed down from generation to generation. All of the cells in our bodies, except red blood cells, contain a copy of our DNA.

At conception, a person receives DNA from both the father and mother. We each have 23 pairs of chromosomes. Of each pair, one was received from the father and one was received from the mother.

These 23 pairs of chromosomes are known as nuclear DNA because, with the exception of red blood cells, they reside in the nucleus of every cell in our body.

The 23rd chromosome is known as the sex chromosome. As with the other chromosomes, one is inherited from the father, and one from the mother. The 23rd chromosome from the mother is always an X. From the father, a person either inherits an X chromosome or a Y chromosome. The chromosome inherited from the father determines their gender. An X from the father would result in an XX combination, which is a female. A Y from the father would result in an XY combination, which is a male.
C:\DOCUME~1\HR\LOCALS~1\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image001.gif
C:\DOCUME~1\HR\LOCALS~1\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image002.gif
​
 
Ajaribu Nairobi...bila mme kujua! Acheki na DNA yake akilinganisha na mtoto.....

Hapa kunaweza kuwa kesi tatu hivi...

  1. Mtoto wa wao....
  2. Mtoto sio wa mme ila ni wa mama
  3. Mtoto ni wao ila vipimo vinazingua...
 
Back
Top Bottom