Sikubali jamiiforum ifungwe

Sirikali ya bongo haina ujuzi wa kufunga mitandao, wataufungaje wakate mtambo mkuu haupo bongo.
 

Halafu hoja nying ni mufrisi kabisa,eti wanasema watoto wanapotoka na habari za uongo kusambazwa!!Ingekuwa vizuri kabisa kama wangeanza kufunga fb,manake huku ndiko under 17 wanaposhinda.MAGAMBA BWANA
 
Dah! wakiifunga JF sijui nitaenda kuharisha wapi?! ........
POPOBAWA.
 
he he he, wewe mwoga sana
pale maeda tu kidogo ukimbie gari utaniweza pashkuna la unga limited?

Kongosho,

Hujui watu tuna ving'amuzi vya kujua namba ukishataja digit za kwanza? shauri yako
 

Kesho Sunday..
After misa kaombe appoitment na Hon.Lwakatare..
Najua hutakosa la kuongea naye..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…