Sikuamini,,kumbe bado wapo!!

Asante sani.

Nitajituma kwa kweli, nikishindwa nilisahaopt mazoezi zamani, we ntakuachia upstairs japo najua mwanaume ni mwanaume tu when it comes to ghorofani, though to few doesnt apply.

AHAHAHAHAHHAHAHAH !kila la kheri best!
kwani unafikir kaaazi baasi!si uvivu tu wa watu!
 
Kuna binti pia mreeemboo...ana masters yake na pesa..yuko shirika fulani....kaolewa na dj form four...uliza walianza lini...tangu binti akiwa form 1... 1996/1997 mpk leooo...na ndie aliyembikiri I guess
 
^^
christine ibrahim
Lakini ndo mitazamo mnayoijenga humu,,kiasi kuwa tunafikiri labda furaha yenu si ktk upendo bali kuwa na mwanaume mwenye elimu na pato kukuzidi ili ujivunie mbele ya shosti zako
^^
...hapana we a differ...problem hata ukimpenda hyo wa kawaida utaonekana upo desparate.
...bora mie nishachukua maamuzi magum ya kuzaa wanangu wa 2 tu....lyf goes on....sitaki stress
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…