Sikuamini,,kumbe bado wapo!!


hahhahahahhahahahhahahhahhahh
 

^^
Ha haa Cha moyoni hufichuliwa na ulimi.
Hata huku nje Kaunga hali ni ile ile,,pesa kwanza.
Wanasema hawataki mwanaume map..mbu Je unategemea hapo kuna mwanamke anaejua kuwa umoja ktk ndoa unaweza kutupatia pato la kukidhi mahitaji yetu? Au ndo yale yale,,huyu anataka kuuza upendo.
^^
 

Mkuu sure wapo hao!!Ndio maana kuna sampuli mbili za wanawake
1. Wife Material
2. Na wale ambao sio wife material/wakujiachia
Ila mara nyingi ili kundi la pili limebeba wale wanawake wa Kisasa sanaaa.,so kama kijana haitakiwi kuingia kichwa kichwa pima kwanza je ni WIFE MATERIAL.
 
hahhahahahhahahahhahahhahhahh

Unacheka, ni uongo.
Hebu nipe pishi jipya la maharage mabichi, naona karibia yaive. Niyaungeje? Nilitaka kuweka vitunguu, hoho, carrot, mbuzi na nyanya; baadaye just before kuipua niweke blueband. Nipe mavituuz yako.
 
Unacheka, ni uongo.
Hebu nipe pishi jipya la maharage mabichi, naona karibia yaive. Niyaungeje? Nilitaka kuweka vitunguu, hoho, carrot, mbuzi na nyanya; baadaye just before kuipua niweke blueband. Nipe mavituuz yako.
ahahahaah kwani mi nimebishaaa!
hayo maharage ili yawe yale ile YENYEWE!
yaweke hiv
karoti sawa,hoho weka mwishoni,nyanya hapana
weka kitunguu saumu kama punje mbili hv,kikaage a vitunguu maji
blue band poa,but mie ningeweka tui bubu la nazi af sitoi mwiko mpka napoipua maharage
kuua bendi kabisa ngeyapika na wali wa kukaanga,wenye tangawizi na kitunguu maji
kisha nkayasindikiza na chai ileeee ya hiliki,zaatar,vannila ya kienyeji
huo mlo ngeusave a kanga moja nyepesi ,goti mpka chini nanawisha maji ,na sauti ileee!karibu chakula mume wangu!
kifuatacho ITV usiniulize!
ahahahahhahhahahhaa SIKUPENDI HATA KIDOGO!
 

Jamani sasa The Boss ndio huyo yuko mbali, hiyo ya kanga moja naireserve fo fyucha yuzi.
Wali wa tangawizi, details mpenzi maana hii kitu mpya. Ungenitext (kuogopa kuchakachua) but naamini hata mwenye uzi atafurahia hii makitu na anaweza msuprise mchuchu wake kwa kumpikia. LOL

Mi oab yu mingi.
 
Last edited by a moderator:
akishakuja karibu utafanya mambo bana!jus serve it for the best
huo wali wa tangawizi(ehehehhe na ni wizi kweli)
mchele wako kama kawa,kitunguu maji,tangawizi yako iponde uzuri!
chemsha maji
kaanga kitunguu,kisha tangawizi,weka mchele kisha chumvi
kaanga mpka uone raha(ehhehe i mean mchele usishikane)
th weka maji!upalie moja kwa moja(mi wali huwa naukubali ukipikwa kwenye mkaa,habari za rice cooker sijui gesi akhu)
baada ya dk 15 geuza kisha palia tena!
rudi after 5to 7 mns ipua
serve a maharage yako ya kukata!
 

Awwwwwwww! Kaunga you have a BIG FAITH IN PEOPLE! And its just SWEET! After all my ideologies you still have faith in me!!!!!!! Astonishing! I am sorry to dissapoint you but i am a MONEY MONGER indeed, wish i could be even a quater of that girl you imagine me to be!
 

Honestly, l am not trying to be sweet here. Ningekuwa na uwezo ningekufanya project na kukufuatilia real life story yako na findings zangu zisingekuwa mbali na hypothesis niliyonayo.
Being money monger, waweza kuwa lkn how you chase the money, surely is not thru kuchojoa skirt au kuolewa na mwanaume just because he has money.
 

^^
Ha ha haa Kaunga hujamwelewa vizuri,,hata mimi bado natazama isiwe unaujua ukweli ila tu unafanya research juu ya mitazamo ya watu kuhusu Ndoa na Pesa!
..
Back to my topic,
Asante maana wanawake wapenda pesa wa jf na wasomi wenzio wanapendezwa sana na uwakilishi wako lara 1 kuhusu pesa kuliko upendo.
^^
 
Last edited by a moderator:

^^
Ha ha haa Kaunga hujamwelewa vizuri,,hata mimi bado natazama isiwe unaujua ukweli ila tu unafanya research juu ya mitazamo ya watu kuhusu Ndoa na Pesa!
..
Back to my topic,
Asante maana wanawake wapenda pesa wa jf na wasomi wenzio wanapendezwa sana na uwakilishi wako lara 1 kuhusu pesa kuliko upendo.
^^
 
Last edited by a moderator:
Best yangu umeniacha hoi aisee!!

Naomba kumnukuu jamaa yangu ''Mwanamke akikuzidi hela, mzidi elimu, akikuzidi elimu, mzidi hela, na akikuzidi vyote mzidi kitandani, heshima itakuwepo tu'' LoL!!


 

i trust Kaunga with her see thru
you are sweet girl. probably don't deny it lol
kubwa la maadui kumbe starring .....lol
 
Last edited by a moderator:
i trust Kaunga with her see thru
you are sweet girl. probably don't deny it lol
kubwa la maadui kumbe starring .....lol

Hahahaaaaaaa! IM SPEECHLESS! BLANK! SHORT OF WORDS!!!!!! We nipake mauta tu kwa mgongo wa chupa na kunivika kilemba cha ukoka!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…