hivi mi huwa nawashangaa sana wakaka!
..binafsi naamini when it comes to lov kuna vitu wala ht haviingii, elim cjui nn huko!
Inategemea mmeamua kuyajenga vipi hayo mahusiano!
,..ckatai we a differ,...
..ss mwanaume anakuaproach,mko powa tu mapenz yanaanza vzr,ukimwambia tu nina masters,kosa anaanza kujishtukia,hajiamini,muoga!ooh,unajua ww umenizidi eli bla bla kibao,..ht mi nakupotezea coz hujiamini
..mtu anaweza kuwa ana elim ya kawaida lkn ana focus!na hili ndo la mhimu!anafikiria mikakati/mipango ya baadae
..badirikeni,mjue mtu wako weka pembeni mambo ya elim etc,km anaringia hyo elim na vingine tema tafuta mwingine
wewe tu na namna utakavotengeneza aina ya mahusiano yako na mkeo!
harakati za MMU wakati mwingine mnaweza mkazilaumu bure tu!lakini kama umekaa kibwege ----- na na hela zangu akuchosha tuuu!
ila kama unajua kusimamia misimamo yako ya mwanaume hasa!ile mwanaume hasa kama alivokuwa babangu aaah mbona heshima mbele tu!nakupigia goti kila ukiingia ndani,akupikia,nakuogeshea watoto,nakuezi ile kike hasa!
sasa we unailetea habari za kulia lia na wehu wa kidot com dot com naachaje kukutupia macredentials yangu na kukukumbusha how much dough i make kila uchao!
mmezidi a nyie kulemaa lemaa!
KOMAENI !WACHENI MPANGO WA KULIA LIA KILA WAKATI!
PROVE THAT U R A MAN ENGOUGH KUNIOA hata kama unafunga viatu!
NTASUMBUA WATU OFISINI NIKIRUDI NYUMBANI HESHIMA!
Kama alivyosema Christine, wenyewe wanajishtukia, hawajiamini na mara nyingi kama akishindwa kutafuta mnyonge (housegirl, barmaid au vidada vya nje) basi anakuwa abusive unnecesarily.
sasa huo uzaidi wa hayo huo!^^
snowhite
Uko sahihi,,lakini harakati za kutuaminisha kuwa mwanaume ni pesa,unataka unyenyekewe hata kama umekosea,harakati za kutuambia kuwa elimu mambo yote,,ni sahihi kiasi..Mimi kuwa mwanaume ni zaidi ya hayo mnayosisitiza humu na kuwakatisha tamaa wanaotafuta wenza.
^^
snowhite, l hope watakuelewa vyema kwamba being a man he should haihitaji kuprove kwa ngumi au ubishi wenye lengo la kuprove kwamba yeye ni mwanaume.
Kuna rafiki yangu ilibidi aiache ndoa aliyoipenda na kuifanyia kazi kwa 6 years kwa kile mwanaume alichokuwa anafanya kuwaprovia wengine kuwa he is a man of the house, alikuwa anampiga mkewe hadharani kwa sababu zisizokuwa na mshiko kabisa.
NIKOSOE
NIONYE
KARIPIA
SEMA KITU GANI KIMEKUKERA sio nimechelewa kwenye meeting tu we unaenda kwa mamako/dadako kushtaki af huyo dadako mweywe namlipia ada za wanae kila siku!NAANZAJE SASA KUKUPIGIA MAGOTI!
NIIIPE MAWAZO YA KUTUMIA HELA YANGU,sio nikitoka kwenye workshop unanihara mpka unaogopa kusimamisha!khaaa!
SIMAMA KUNILINDA!sio ----- gani sijui huko na wehu wake kanibore kazini a we unashiriki kilio na mimi(ehehhhe they have thier weak points hao wasomi)unabaki we muache tu mke wangu ndo watu walivyo wakiwa na maboss wanawake!(mi naitafsiri mke wangu hata mi mwenyewe ningepata pa kukuonea ungekoma)
Wewe ni mwanamke?wazuri tupo ila tumekaa kimya. tukisema tutaonekana tunajidai
Umeshapata BOND bibie?kwa ufupi tupo hatupendi makuu
ndo wanavyofanya hao unaowaonea huruma kuwa wake zao wasomi hawawapi heshima!^^
Ha ha hapo unaposema kuwa Mwanaume akashitaki kwa dada,,basi ujue una mume asiyejitegemea kimaamuzi,,mwanaume Independent anajua namna ya kucheza na hali yako pasipo kutumia nguvu.
^^
af kingine!KINGIIIIINE!
huwezi kuwa unaleta ubishoo kitandani na kufanya game za kijinga jinga na kisharobaro ukategemea nikasahau maakili yangu!
PIIIIGA KAZI!
nifanye nijue kuwa mimi ni mwanamke !
NTASAHAU TU KUWA kuna watu wananiita boss immediate nikifika nyumbani!
Umeshapata BOND bibie?
ndo vijana wanaotaka kuoa muliweke hilo kichwani!^^
Hapa unaongelea kuridhishwa/kufikishwa..jambo linalotegemea ujuzi,ufundi na sanaa ya chumbani.
Hili halina uhusiano na elimu,pesa,utajiri au sifa zilizokamilika mnazoandika kwenye karatasi na kuzitafuta mitaani,,awe hivi! Awe na hili.
Kuna wadada wanaona ndoa ni pesa,,hayo unayotaka snowhite ambayo kweli ndio roho ya ndoa..wana exchange na pesa!
^^
^^
Kaunga
Kwenye ubishi hapo naelewa kwa nini umesema ivo,,binafsi huwa sina tatizo na maoni,ushauri unaotoa jukwaani.I can summarize your comments as FAIR,BALANCED and JUSTICE
Lakini tatizo ni kuwa baadhi ya wenzio wanaona kuwa na mume asie msomí,asiye na pesa Hawawezi kumkabidhi penzi lao,,ni aina fulani ya silent trade,,hapo ndipo palipotaka kuniaminisha kuwa Wanawake wa sasa ni beyond reality.
^^
wewe tu na namna utakavotengeneza aina ya mahusiano yako na mkeo!
harakati za MMU wakati mwingine mnaweza mkazilaumu bure tu!lakini kama umekaa kibwege ----- na na hela zangu akuchosha tuuu!
ila kama unajua kusimamia misimamo yako ya mwanaume hasa!ile mwanaume hasa kama alivokuwa babangu aaah mbona heshima mbele tu!nakupigia goti kila ukiingia ndani,akupikia,nakuogeshea watoto,nakuezi ile kike hasa!
sasa we unailetea habari za kulia lia na wehu wa kidot com dot com naachaje kukutupia macredentials yangu na kukukumbusha how much dough i make kila uchao!
mmezidi a nyie kulemaa lemaa!
KOMAENI !WACHENI MPANGO WA KULIA LIA KILA WAKATI!
PROVE THAT U R A MAN ENGOUGH KUNIOA hata kama unafunga viatu!
NTASUMBUA WATU OFISINI NIKIRUDI NYUMBANI HESHIMA!
^^
ni jambo ambalo tayari nilishaliondolea tumaini,,kwamba kuna wanawake wasomi ambao hawana harakati ninazoziona mmu
..
Nilimtembelea rafiki angu ambae ni mhitimu wa kidato cha sita.ana biashara ndogo ndogo tu,,lakini ni kukuta ameoa mwanamke anaepigiwa mfano na kila mtu,,ambae ni
.mhitimu chuo kikuu,
.hatangulizi pesa anaishi kadri ya uwezo,
.mahitaji yake sawa na watu wengine,
.anajua kupata na kukosa,
.hamtoi kasoro mumewe,
nilimdadisi kujua kama amepitia matatizo ktk maisha yake,akasema hapana nikamuuliza alifikiria nini kumkubali ambae kwa kawaida binti mwenye elimu yake,umbo safi,anatongozwa kila kona,,asingekubali hilo.jibu lake halikuwa refu,alisema "napenda kujenga maisha"
..
Imani yangu ilikuwa imepotea kuhusu mitazamo ya wanawake humu ndani,lakini kumbe nilikosea,wapo ambao wanajua maisha na wanatambua nini kinatakiwa ktk ndoa.
...
Wale wanaotafuta wachumba,wasikate tamaa wanawake wapo ambao kweli wanahitaji ndoa bila vigezo na masharti ya kuvunja moyo.
^^