Yuko kikazi zaidi Chadema. Anaijua kazi yake ni ipi aliyotumwa kuifanya huko na atahama akiimaliza.
Akifukuzwa,AMEONEWA!!
Akiachwa,AMEOGOPWA!!
Nafikiri cdm.wasitumie nguvu sana kwa shibuda kwanza nikiweka pandikizi kimboni kwake.akiisha aishe moja kwa moja
Source Mtanzania
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimesema kimechoshwa na kauli tata za Shibuda na siku zake zinahesabika ndani ya chama.
Hayo yanesemwa kwa nyakati tofauti katika mikutano ya chama chao mikoani walipoulizwa na wanananchi. Kati ya walionyeshwa kuchoshwa na kauli za Shibuda ni Tundu Lisu na Mbowe
you will never tired of democracy tundu acha kuchemshaSource Mtanzania
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimesema kimechoshwa na kauli tata za Shibuda na siku zake zinahesabika ndani ya chama.
Hayo yanesemwa kwa nyakati tofauti katika mikutano ya chama chao mikoani walipoulizwa na wanananchi. Kati ya walionyeshwa kuchoshwa na kauli za Shibuda ni Tundu Lisu na Mbowe
Nafikiri cdm.wasitumie nguvu sana kwa shibuda kwanza nikiweka pandikizi jimboni kwake.akiisha aishe moja kwa moja