Siku za kujifungua zimepitiliza, msaada.

Week ya 43 mimba imepitiliza sana kuna hatari ya kupoteza mtoto maana mtoto anapata chakula chake kupitia placenta au kondo la nyuma na endapo muda wa kujifungua ukipita automatically placenta function inapungua hivyo kumnyima mtoto mahitaji yake na mwishowe anakufa cha kufanya fuata USHAURI wa Daktari mama akaanzishiwe Uchungu kwa faida yake na mtoto wenu mtarajiwa.
 
sidhani kama kutakuwa kusahau make hii ni ya tano....tunao uzofu,,,,,labda siju , make kidogo waligusia na umri [ana miaka 35],,, na mimba za nyuma hazina shd kbs,,,,,nilisahau kuuliza utral sound imeditekiti wiki ng?......nilikuwa ninampango wa kurudi niulize na hilo,,,,,, asante
Kama ni post date, inabidi alazwe Hosp watajua njia gani itatumika kujifungua either kawaida au kwa operation inategemea na hali ya mtoto na mama
 
wahi kwa mwamposi (buldoza)pale mwenge atajifungulia pale pale nenda na ness
 
Mim pia alijifungua wiki ya 42.Baada ya kuona siku zinakwenda bila uchungu kuanza nikachukua smartphone yangu na kuangalia sababu zinazoweza kufanya mimba ipitilize(post-term pregnancy).Pia hiyo kusahau tar. ya mwisho ya kuanza hedhi ilikuwepo.Nikajaribu tena kuangalia bad and good effects related to post term pregnancy na kuona hiyo ya mtoto kutopata nourishments za kutosha via placenta so inahatarisha afya ya mtoto na kingine nilicho note ni kuwa ni asilimia ndogo mimba hizi watoto wao huzaliwa wafu.Na uzur wa hizi mimba walisema mtoto anakuwa amekomaa vizur.
Baadaye kabisa nikaangalia njia za kufanya uchungu uanze kwa condition hiyo ya post term pregnancy, na wakashaur vingi sana lakin nilivyochukua mim na kuvifanya ni:-
,,,Kumwambia mke wangu afanye mazoezi ya kutembea kwa umbali mrefu asubuh na jion daily huku mim nikiwa pemben yake coz uchungu ukianza njian bac nitamsaidia
,,,,,,Kumwambia awe ana shika shika chuchu mara nyingi kwa siku.Hii hupeleka taarifa kwenye ubongo na kuamuru homon kuachiwa mwilin na hivyo kuanza uchungu.
Another alternatives for post term pregnancy ndo kama hizo za kuanzishiwa uchungu wanaita artificial induction of labour kama kuwekewa vidonge au hormone ya oxytocin na ingine wanaita cjui cervical stimulation na nyingine nyingi.
Na pia hatua ya mwisho kabisa baada ya zote kufeli ndo kama ulivyosema ni Operation.

So mkuu kwa kuwa bado haujaenda hospital nakuomba ujaribu hiyo ya mazoez na kushika chuchu na iman utakuja tena kutupongeza kwa ushaur.Asante
 
Mkuu umemshauri vizuri sana hadi na Mimi nimefurahi lakini umri Wa mama si haba, angeenda tu hoapitali kwa mazoezi amechelewa sana.
 
asante sana mkuu........kwa upande wa mazoezi mke wangu anafanya mazoezi sana , hasa ya kutembea,,,,,,kwani yeye ni mwl hivyo hutembea kwenda shule kama kilometa mbili ,,,,,,na anapomaliza masaa ya kazi ana nyumba kama mbili huenda kufundisha tution ..kutoka nyumba A na baadaye nyumba B..........kwa wenyeji wa mwanza ,,,, mwanafunzi mmoja yuko carpillipont na mwingine yuko bugando na pote hapo hutembea, wala hachukui piki piki.......hupanda gari tu anapotoka shuleni kwake kuja mjini ...kwa kuwa tuko pembeni ya mji.............ila ngoja tuanze hiyo ya kushika shika chuchu ........asante sana.
 
Week ya 43 mimba imepitiliza sana kuna hatari ya kupoteza mtoto maana mtoto anapata chakula chake kupitia placenta au kondo la nyuma na endapo muda wa kujifungua ukipita automatically placenta function inapungua hivyo kumnyima mtoto mahitaji yake na mwishowe anakufa cha kufanya fuata USHAURI wa Daktari mama akaanzishiwe Uchungu kwa faida yake na mtoto wenu mtarajiwa.
mawazo mazuri sana,.......asante
 
Anunue castor oil na kunywa kijiko kikubwa.Ili kuondoa kuchefukwa ni vema akikamua kajuice ka chungwa achanganye.Anywe kwa interval ya masaa manne manne au matatu.Ina tabia ya kuamsha uchungu pia kwa ku irritate bowel movements.Muwe na Imani,asiwe na wasiwasi sana wala asimpe shetani nafasi ya kuwa negative wakati huu.
 
mchango wenu ni wa muhimu sana,,,,,,,
hata hivyo tumeamua kwenda hospital sk ya ijumanne yaani kesho kutwa ngoja leo ashike chuchu na kesho kama hakutakuwa na matokeo tutaenda hospita,,,, [Bugando] , asanteni
 
A
Anunue castor oil na kunywa kijiko kikubwa.Ili kuondoa kuchefukwa ni vema akikamua kajuice ka chungwa achanganye.Anywe kwa interval ya masaa manne manne au matatu.Ina tabia ya kuamsha uchungu pia kwa ku irritate bowel movements.Muwe na Imani,asiwe na wasiwasi sana wala asimpe shetani nafasi ya kuwa negative wakati huu.
ASANTE
 
Duh poleni sana ndugu. Mungu awajalie shemela ajifungue salama. Ila nadhani ungeangalia maombi pia kwa iman uliyonayo si unajua saivi dunia ilivyo
 
poleni kwa changamoto, Naona wengi wametoa ushauri mzuri... Binafsi naona operation ni best option
 
Kumbe hutak unaogopa oparation ila hutak mtoto.. Pole ilo tatizo lilinipata Mimi mimba ya kwanza nlikua nasubir uchungu kumbe mtoto anaathirika nakukaa mda mrefu mbaya zaid nlikua nã presha nakuvimba nikaongezeka nwisho wanakuja kunifanyia opareshen nikabak nã kidonda mtoto akafarik kumbe ninatatizõ lakutopata uchungu kilichokuja kujulisha nilitundikiwa drip tano za uchungu zikadunda ndonikafanyiwa opareshen nã sasa nimebahatikà kupata mtoto wa pil nanina opareshen mbili
 
Kumbe hutak unaogopa oparation ila hutak mtoto.. Pole ilo tatizo lilinipata Mimi mimba ya kwanza nlikua nasubir uchungu kumbe mtoto anaathirika nakukaa mda mrefu mbaya zaid nlikua nã presha nakuvimba nikaongezeka nwisho wanakuja kunifanyia opareshen nikabak nã kidonda mtoto akafarik kumbe ninatatizõ lakutopata uchungu kilichokuja kujulisha nilitundikiwa drip tano za uchungu zikadunda ndonikafanyiwa opareshen nã sasa nimebahatikà kupata mtoto wa pil nanina opareshen
mbili
nyote nawashuru sana kwa msaada wenu mawazo........jana ndio amelazwa , na leo yaani [jumatano ya leo 12/4/2017] ....nadhani jioni hii atawekewa dilipu za uchungu........daktari amesema ....uzito wa mtoto ni mzuri tu..japo tumeambia kutokana utral ya BMC, mtoto ana kilo 3,,,,,,[kule pa mwanzo tuliambiwa ana kilo 3.2kg]..........hawatamurusu kwenda nyumba,.....placenta imechoka .

nilikuwa nimepotea kidogo kwa ajili ya pilika pilika za huko ,,,,,,nawashuru sana,,,,

duwa zenu jamani.
 
Back
Top Bottom