Siku za kazi

Naona wanahesabia masaa 24 ni siku mbili, mchana na usiku ni siku mbili, kasoro ijumaa ni siku moja kwa maana ya kwamba ijumaa haifunguliwi usiku. Kwa hiyo mchana na usiku wa jumatatu, nne, tano, alhamisi jumla ni siku 8. Ijumaa ni mchana tu. Jumla siku 9.
 

Mkuu hii calculation mbona kali sana??
 
Hao watakuwa wale wa Shika neno tenda neno. Kwao kila kitu kina kalenda na jina lake.
 

Ni Sawa ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…