Son of Gamba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 4,718
- 6,979
Kama "BABA MUNGU" ni mjomba wako, basi itakuwa hivyo.ULAANIWE , ULAANIWE ULAANIWE
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu hapendi kuambiwa ukweli? Maana umesema hatamvumilia.Ukweli ni jambo zuri sana kulisema, lakini uzalendo ni kitu bora zaidi kuliko kitu chochote kile.
Hussein Bashe wewe uko ndani ya CCM na ajabu wewe unaongoza kwa kuiponda CCM kuliko hata ambavyo unaviponda vyama vya upinzani. Katika siasa tabia kama hii haikubaliki hata kidogo.
Wana CCM tumekuwa tukikufuatilia kwa karibu sana, na matamko yako, yanaonesha wazi kabisa wewe siyo mzalendo kwa chama chako kilichokulea mpaka kukufikisha hapo ulipofika.
Inawezekana madai yako yakawa na ukweli ama la; lakini namna unavyoyawasilisha na mahali unapoyawasilisha siyo sahihi hata kidogo. Sidhani kama Mwenyekiti ataendelea kukuvumilia. Mimi nikiwa kama mwanachama wa CCM nimekerwa sana na matamshi yako unayoyatoa bungeni. Acha kutafuta cheap publicity!
Bashe wewe ni msaliti, tena inaonekana unatumiwa na CHADEMA sababu ulikuwa swahiba wa Lowassa. You are a traitor! You are a mole and you have to be removed!
Nakushauri Mwenyekiti wangu mpendwa na Rais wetu, ndugu John Pombe Magufuli, muondoe haraka sana huyu kijana ndani ya chama chetu sababu sasa ameshaota MAPEMBE. Bashe ni hatari sana kwa mustakabali wa chama chetu (CCM).
Hakuna chama chochote kile cha siasa hapa Tanzania ambacho kingemvumilia mwanachama kama BASHE! Mifano ipo mingi sana.
Mbaya zaidi anayoyaongea Bashe bungeni hayana faida yoyote ile kwa wananchi wa jimbo lake! Kazi yako Bashe ni kuwawakilisha wapiga kura wa NZEGA na siyo kupigana na CCM na serikali yake!
Mheshimiwa Rais; naomba uunde kamati maalumu ndani ya CCM kwa ajili ya kumchunguza huyu bwana mdogo. Anakoelekea siko kabisa na hatufai tena ndani ya chama chetu.
Mimi nina uhakika wa 90% hata kama tukimfukuza uanachama huyu msaliti BASHE, jimbo la NZEGA bado tutalichukua. Wakati ni sasa!
By Son of Gamba.
Mwache aseme kweli. Bashe siku zake zinahesabika. Hawa vijana wamepata malezi mabaya ndani ya CCMnashauri serikali na jamii ichukue hatua kwako... unaoneka unajua kitu sasa hata ishu za utekaji unaweza ukawa unafahamu wewe...!!!
unajua unaposema flani siku zake zinahesabika ujue umeshajiingiza kwenye matatizo bila kujua... kwa kuropoka tu!!!Mwache aseme kweli. Bashe siku zake zinahesabika. Hawa vijana wamepata malezi mabaya ndani ya CCM
Tatizo mtoa post huzijui siasa za nchi hii ni Bashe aliekataliwa ubunge na CCM wakasema sio RAIA leo ni mbunge wa Nzenga
Msomali kutoka Somali na Mgoni kutoka SA wote wa kujaHuyo Msomali asituumize kichwa. Tuna mengi ya kufanya ili kujenga nchi
Huo ushabiki wako utaikosesha CCM kiti kimoja ukija uchaguzi mdogo. Bashe inaonekana kashindwa kupata support katika mikutano yao ya ndani maana huko wamejaa wanafiki kama wewe. Hivyo kaona bora awashitaki kwetu wanatanzania maana yeye ni mzalendo. Waziri akiona hakuabaliani na mienendo ya serikali na sababu alikula kiapo cha collective responsibility akiwa makini anachukua uamuzi wa kuilipua serikali na kujiuzulu ama anaachia ngazi bila kuwalipua. CCM siyo serikali ni chama kilichoshinda uchaguzi na kuwa na madaraka serikalini.Ukweli ni jambo zuri sana kulisema, lakini uzalendo ni kitu bora zaidi kuliko kitu chochote kile.
Hussein Bashe wewe uko ndani ya CCM na ajabu wewe unaongoza kwa kuiponda CCM kuliko hata ambavyo unaviponda vyama vya upinzani. Katika siasa tabia kama hii haikubaliki hata kidogo.
Wana CCM tumekuwa tukikufuatilia kwa karibu sana, na matamko yako, yanaonesha wazi kabisa wewe siyo mzalendo kwa chama chako kilichokulea mpaka kukufikisha hapo ulipofika.
Inawezekana madai yako yakawa na ukweli ama la; lakini namna unavyoyawasilisha na mahali unapoyawasilisha siyo sahihi hata kidogo. Sidhani kama Mwenyekiti ataendelea kukuvumilia. Mimi nikiwa kama mwanachama wa CCM nimekerwa sana na matamshi yako unayoyatoa bungeni. Acha kutafuta cheap publicity!
Bashe wewe ni msaliti, tena inaonekana unatumiwa na CHADEMA sababu ulikuwa swahiba wa Lowassa. You are a traitor! You are a mole and you have to be removed!
Nakushauri Mwenyekiti wangu mpendwa na Rais wetu, ndugu John Pombe Magufuli, muondoe haraka sana huyu kijana ndani ya chama chetu sababu sasa ameshaota MAPEMBE. Bashe ni hatari sana kwa mustakabali wa chama chetu (CCM).
Hakuna chama chochote kile cha siasa hapa Tanzania ambacho kingemvumilia mwanachama kama BASHE! Mifano ipo mingi sana.
Mbaya zaidi anayoyaongea Bashe bungeni hayana faida yoyote ile kwa wananchi wa jimbo lake! Kazi yako Bashe ni kuwawakilisha wapiga kura wa NZEGA na siyo kupigana na CCM na serikali yake!
Mheshimiwa Rais; naomba uunde kamati maalumu ndani ya CCM kwa ajili ya kumchunguza huyu bwana mdogo. Anakoelekea siko kabisa na hatufai tena ndani ya chama chetu.
Mimi nina uhakika wa 90% hata kama tukimfukuza uanachama huyu msaliti BASHE, jimbo la NZEGA bado tutalichukua. Wakati ni sasa!
By Son of Gamba.
We shida yako jimbo siyo?Ukweli ni jambo zuri sana kulisema, lakini uzalendo ni kitu bora zaidi kuliko kitu chochote kile.

***Ukweli ni jambo zuri sana kulisema, lakini uzalendo ni kitu bora zaidi kuliko kitu chochote kile.